Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Kijana, usikubali kufanya ngono kinyume na maumbile; ni kilema cha maisha

Sasa huyo huenda ana historia iliyomfanya akaishia huko. Aidha alibakwa au alipitia manyanyaso utotoni kwa muda mrefu bila watu kujua au kuwa karibu nae.... Na kadhalika, kwahiyo Jitahidini mjue story yake, huenda alishaathirika kisaikolojia dhidi ya Aliyofanyiwaga mpaka yakampelekea kuishia huko.

Sio hawa wengine vijana wa mjini wasio na akili wanaishia kufirwa kwa kupenda vya bure na maisha mazuri ya haraka. Kenge hawa!
Angalizo hapa, ukimuonea sana huruma shoga anaweza akatumia advantage huruma yako hatimae akakuletea design sio. Sasa ni bora umshtukie mapema coz ukichelewa wadau wanaweza wakadhani na wewe pia upo kwenye chama ... either ndo basha wake au nyote mnafumuliwa pamoja!

We mshauri tu ila usiweke sana ukaribu nae kaka, atakuchafua!
 
Japo wataalam wanashauri usijaribu kuonja kaa nao mbali
 
Angalizo hapa, ukimuonea sana huruma shoga anaweza akatumia advantage huruma yako hatimae akakuletea design sio. Sasa ni bora umshtukie mapema coz ukichelewa wadau wanaweza wakadhani na wewe pia upo kwenye chama ... either ndo basha wake au nyote mnafumuliwa pamoja!

We mshauri tu ila usiweke sana ukaribu nae kaka, atakuchafua!
Gay smart na anayejitambua hawezi kuwa na mazoea holela na straight, kwan had afanye hivyo anatakajee? Straight ndo atake mazoea na Gay.

Afu mbona Bongo kuishi ni simple sana ukiwajulia waja!! Tatizo gays wengi wa Bongo hasa wasiokalia Dawati, hawajielewi wala hawajitambui, kutwaa kuranda kwenye mashughuri kuuuza nyago, au huko bar na club kujichoreshaaa.

Wakiishi life lao private, nongwa zinatoka wapiii? Unaishi kivyakoo had wao wanajiuliza anajimudu eeeh.
 
Kijana wa kiume usishawishike hata upewe mamilioni ya pesa usikubali kuuza utu wako. Unapewa kilema cha maisha bila kujua.

MADHARA

1. Uwezekano wa kupata UKIMWI na magonjwa mengine ya Ngono ni mkubwa (michubuko) maana sehemu ya haja kubwa haikuandaliwa kupitisha mizigo mikubwa na bongo vilainishi marufuku.

2. Ukipata matatizo, hospitali za bongo utaambulia matusi na kunangwa huku unaoza,

3. Hao mabazazi watakuchekea wakufumue Tu hawana muda na wewe wakishakuharibu,

4. Nawajua vijana kadhaa kwa sasa inabid wavae diapers kuzuia haja kutoka bila taarifa.

5. Mmoja anaomba michango akatibiwe India, waliokua wanampapasa wanamkimbia. Michango tunaombwa watu Baki. Sio fair!
KIjana kuwaza tu hata haya mawazo,ni ushetani wa hari ya juu.
 
Back
Top Bottom