Kijana usitegemee sana elimu ya darasani kukupa maisha, tafuta ujuzi au maarifa ya ziada yenye guarantee ya kukupa maisha,

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira.

Uwanja wa ajira upo tofauti sana sio kama mnavyohadithiana vyuoni, Ajira ni chache sana, Vyuo vinazidi kuongezeka pamoja na matawi ya mikoani, idadi ya wahitimu inazidi kuwa kubwa lakini idadi ya ajira ni chache mno haziongeki.

Na hata katika hizo ajira chache ni suala la Connections iwe kutumbukizwa kwa kujuana ama kujua wa kumlipa kununua ajira, wanaopata ajira kwa vyeti kiuhalali wapo lakini bado ni bahati nasibu, ndio maana vyuoni huwa kuna watu wala hawatumii bidii sana kusoma sababu wanajua connection ipo, wala hamuwezi kufanana.

Haya sasa wewe kijana huna connection umeweka matumaini yote darasani utadhani kwenu mna kampuni ya kukupa ajira ya uhakika, huo ujasiri unautoa wapi kwamfano ?

Ukishindwa kujipanga unajipanga kufeli, ni muhimu uanze kujipanga mapema, sawa unapiga kitabu lakini una uhakika wa ajira ?

Ushauri wangu wa uhakika kwenu, Tafuta ujuzi / maarifa yowote nje ya vyeti lasivyo unaweza kuumia sana ukikosa ajira, Anza mapema kutengeneza Plan B ukiwa sekondari au chuoni, usisubiri uhitimu.

unaweza kuwa na akili za darasani ukaanza mapema kujifunza biashara ya tuition centre, unajitolea kwenye tuitions kufundisha huku unajifunza kuanzisha yako ukusanye na wenzako, nimeona walimu kadhaa wa tuition wanaishi maisha mazuri.

Shangazi ni mama ntilie, jifunze kwake jinsi biashara inavyoenda, wewe ongezea usomi wako kuifanya biashara kisasa zaidi mfano mbinu za kisasa kufikia wateja, kuitangaza biashara, n.k.

Tengeneza urafiki na vinyozi wa mtaani jifunze kazi, ukiongezea maarida yako kadhaa kama research skills unaweza kuingiza pesa nyingi zaidi,

Kwenu mna mashamba, kama upo chuoni Dar unaweza kufuatilia wateja wa kuwauzia moja kwa moja bila kuwatumia madalali.

n.k.
 
Mkuu... Natafuta mwalimu mzuri wa kunifundisha namna bora ya kutumia mitandao facebook, instagram kwa kupitia biashara... So far nimekutana na wapigaji tuu... Anyone unayeweza kumrecommend nimtafute please...
 
Kusoma ni fursa na imefungwa ndani ya muda! Bora usome uwe na ufaulu mzuri uitendee haki fursa ya elimu uliyoipata. Baada ya hapo endelea na maisha yako mengine kuliko kuwaambia wasisome! Sasa asiposoma akafanye nini wakati umri ni mtoto/kijana? Akakaange chipsi? Auze mayai? Akaange vitumbua?
 
Mkuu... Natafuta mwalimu mzuri wa kunifundisha namna bora ya kutumia mitandao facebook, instagram kwa kupitia biashara... So far nimekutana na wapigaji tuu... Anyone unayeweza kumrecommend nimtafute please...
Tafuta kitu unachoweza kumtatulia mtu shida kwa uhakika, Yaani uwe na maarifa yake, ujuzi, connections, n.k.

Tengeneza page yako ukionyesha ukamilifu wako kwenye hio idara, mawasiliano, n.k. ili mteja anapotaka kukuchunguza ashawishike you are the right person for the job.

Anza kufuatilia page zenye watu wanaotafuta hizo solution.

Anza kusoma comment, zinase zile za watu walio serious kutafuta solution

Wasiliana nao kwa inbox au simu, usiwe na tamaa, kila kitu kina mwanzo hata ukianza na mteja moja kwa wiki.

Unapopewa nafasi onyesha uwezo, ukipewa kazi fanya kweli.

utendaji wako wa kazi taratibu utaanza kukupa jina nao watakuwa wanakutafutia wateja nje ya wale unaowatafuta wewe, brand inakuwa kubwa.

Mafanikio hayaji kwa muda mfupi, inakubidi uwe mvumilivu na consistency deal na sehemu moja at least kwa mwaka mzima, mafanikio yasikutoe nje ya reli.
 
ukweli ni kwamba elimu yetu ya Tanzania ina malengo zaidi ya kuajiriwa kuliko kujiajiri, vijana wengi wakipata vyeti ndoto huwa ni kuajiriwa, ni almost 2% ya wahitimu huwa wana ndoto nje ya ajira.

Uwanja wa ajira upo tofauti sana sio kama mnavyohadithiana vyuoni, Ajira ni chache sana, Vyuo vinazidi kuongezeka pamoja na matawi ya mikoani, idadi ya wahitimu inazidi kuwa kubwa lakini idadi ya ajira ni chache mno haziongeki.

Na hata katika hizo ajira chache ni suala la Connections iwe kutumbukizwa kwa kujuana ama kujua wa kumlipa kununua ajira, wanaopata ajira kwa vyeti kiuhalali wapo lakini bado ni bahati nasibu, ndio maana vyuoni huwa kuna watu wala hawatumii bidii sana kusoma sababu wanajua connection ipo, wala hamuwezi kufanana.

Haya sasa wewe kijana huna connection umeweka matumaini yote darasani utadhani kwenu mna kampuni ya kukupa ajira ya uhakika, huo ujasiri unautoa wapi kwamfano ?

Ukishindwa kujipanga unajipanga kufeli, ni muhimu uanze kujipanga mapema, sawa unapiga kitabu lakini una uhakika wa ajira ?

Ushauri wangu wa uhakika kwenu, Tafuta ujuzi / maarifa yowote nje ya vyeti lasivyo unaweza kuumia sana ukikosa ajira, Anza mapema kutengeneza Plan B ukiwa sekondari au chuoni, usisubiri uhitimu.

unaweza kuwa na akili za darasani ukaanza mapema kujifunza biashara ya tuition centre, unajitolea kwenye tuitions kufundisha huku unajifunza kuanzisha yako ukusanye na wenzako, nimeona walimu kadhaa wa tuition wanaishi maisha mazuri.

Shangazi ni mama ntilie, jifunze kwake jinsi biashara inavyoenda, wewe ongezea usomi wako kuifanya biashara kisasa zaidi mfano mbinu za kisasa kufikia wateja, kuitangaza biashara, n.k.

Tengeneza urafiki na vinyozi wa mtaani jifunze kazi, ukiongezea maarida yako kadhaa kama research skills unaweza kuingiza pesa nyingi zaidi,

Kwenu mna mashamba, kama upo chuoni Dar unaweza kufuatilia wateja wa kuwauzia moja kwa moja bila kuwatumia madalali.

n.k.
Wasipoelewa na hapa, basi tenaa
 
Ni ujumbe muhimu sana, changamoto Watanzania hasa graduate

Uoga wa kuanzisha biashara upo sana.
 
Kuna mahali nilipita leo, nmekuta fundi anafanya kazi, yupo na msaidizi dogo wa kidato cha tatu.....dogo anapiga msumeno kwa umakini kabisa yupo vizuri, nimependa sana, hapo yupo secondary tu na pesa inaingia na anaongeza na ujuzi

Ila kuna graduate mahali amekaa anomba hadi hela ya kula, sijawasimanga jamani....
 
Mkuu... Natafuta mwalimu mzuri wa kunifundisha namna bora ya kutumia mitandao facebook, instagram kwa kupitia biashara... So far nimekutana na wapigaji tuu... Anyone unayeweza kumrecommend nimtafute please...
You are welcome
 
Back
Top Bottom