Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Dhamiri ikifa ndio majibu yenyewe.Kama kujamiiana na mtu mmoja tunayependana ndio uzinzi basi sotqqcha coz sio jqmbo baya kwangu
Dhamiri ikifa ndio majibu yenyewe.Kama kujamiiana na mtu mmoja tunayependana ndio uzinzi basi sotqqcha coz sio jqmbo baya kwangu
Kijana usiwaze unakaribia kuwa GRAND MASTER 3RD DEGREE🥈( SENIOR CHRONIC BACHELOR WITH HONOURS).Nawaza miaka inaenda nakaribia 30year sina mtoto , nikwa kama mdau wa kataa ndoa nifanyeje wakuu ushauri naomba
Tndoa ni uzushi hamna kitu.ndoa ni mateso tupu ndoh maana sai watu hawaoi wala kuolewa. mm nazidi kulaani vifungo vyote vya ndoa.ndoa ni uzushi hamna kitu.
Hahaha siyo zote lakini,ni vile mnakuwa hamjapata watu sahihi😀🤸🏾Sio kweli , mandoa ni mattress matupu ,sisi wanaume ni waathirka namba moja wa ndoa ni vile hatusemi tu , na wengi wanajifia kimya kimya , hata saikolojia ya mwanamke tu inajua ipo siku huyu boya atakufa ndani ya ndoa
Mbona umepanick boss?Watoto wadogo mnahorojeka mnaongea ongea ujinga tu kama mmerukwa akili!
Watu tuna ndoa za 15 years kuna wazee wana 30,40 majuzi mzee mmoja kafanya jubilee ya miaka 50 ya ndoa hapa mtoto wa 2000s anasema ndoa ni mateso hayo mateso wewe umeyapata lini wakati unaamkia kwa baba yako na mama yako wenye ndoa?
Ya niniPole binti
Kwani mimi na wewe ni ma adui mpaka uniombee ndoa...Adui yako muombee ndoa![]()
We nenda kwa kina ndoa utakuja kuelewa hio commentKwani mimi na wewe ni ma adui mpaka uniombee ndoa...