Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Mimi nilikuwa najibu fact ya min -me , kwamba hiyo sababu ya kufa bila msaada ni ya kufikirika, haina uhalisia na hai "make-sense". Sasa hujaelewa nini hapo?
Hiyo ya kufa peke yako huwa naiona ni moja ya sababu za hovyo sana za kutetea ndoa. Ni sababu haina hata mantiki. Kwamba ukifa umezungukwa na umati wa watu ndo kifo bora? Kuna walioanguka bungeni wakafa. Wengine wanakufa wakiwa wamelala next to their spouses. Unadhani umelala na mtu yupo hai kumbe kafa. Wengine wanafia lodge, barabarani safarini, maofisini etc na wana ndoa zao. Tutetee ndoa kwasababu zenye mashiko.
 
Mimi ninachojua ni kuwa watoto ni biggest liability na pia ndoa ni biggest scam ever.
 
Sina direct experience ila nimeshuhudia watu wa hiyo age ambao hawakutaka ndoa kabisaa na hawakuonyesha kujutia. Siyo wabongo though. Kwahiyo huenda mila, uchumi vinachangia. Lakini hata wabongo, kuna wa hiyo age ambao walifiwa na wake na wengine kutalikiana ambao by choice hawakuja kuoa tena. Unawaelezeaje hawa?
 
Baada ya kukusoma nimeona unapenda mali zaidi ya ndoa, umeitumia "ndoa" kama kidude flani hivi cha kujishikiza kimachale ili kisikuharibie mali zako.

Ili kusudi ukiulizwa mumeo yuko wapi, ujibu; huyu hapa, ila akili yako iko kwa mali zako, i wonder why uwapinge kataa ndoa then!.

Naona wanaweza kutumia pesa zao kutafuta wanawake wakuwaondolea upweke pale watakapoona wanastahili kufanya hivyo, kama mali ni muhimu zaidi ya ndoa.

Sijui kama tumeelewana....!!
 
Hakuna cha upweke , jiulize kwanini mwanaume akiwa na hiyo ndoa na hana pesa anakua na huo upweke japo wapo kapo , uchumi tu ndio suluhisho la upweke kwa mwanaume , uwe na ndoa au usiwe na ndoa
 
Mkuu na 40 ujue🤣
 
Ndoa ni kwa ajili ya wanaume werevu tuu sio mafala fala.
Ukishindwa unakubali kuwa we fala unakausha.
Punguza ushauri.
 
Kweli kabisa 🙌
 
Waweza kuwa mpweke ndani ya ndoa tena zile ndoa zenye leseni.
 
Tuoe then mje mjigambe mbele ya Camera kuwa kuwa mna Degree 4..hamfui wakati huo huo mnataka sie tuwape kila aina ya uwekezaji ..kana kwamba familia zetu zilifanya uwekezaji kutosomesha ili nyie mje mjibebe hela zetu kirahis rahisi
 
Wanandoa wengi wana shinda bar mpaka usiku wa manane jiulize kwa nini?
Najua jibu ni changamoto za ndoa ila ndo mana nashauri sogea tukae ili mtu akizingua anaondoka.Kisa gani mtu ashinde bar kisa mtu anayeweza kuwa replaced?Mambo yq hadi kifo kitutenganishe ni old school.
 
Hii formula yangu kabisa ni mwendo wa kuyagonga tu Makebo makubwa nikimaliza napiga chini nachukua kebo lingine kubwa zaidi naruka nalo nikiona namna gani piga chini chukua kebo lingine lililojazia zaidi m, hivyo yaan
So kebo toka kebo ingia.😃
YOLO.
If it gives you happiness why not mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…