Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Mkuu na 40 ujue🤣
😃😃
Hata kama ila si bado una nguvu bwashee?
Kuna mtu huko juu kasema yeye kaamua kuishi kwa kila siku kupiga chini kebo kubwa na kuli replace na kebo kubwa zaidi.Hizo zote ni jeuri za energy za ujana.
Kuna umri utafika yule bwashee kule chini atakua hataki fujo na mtu na kama una bibi nae hataki kero na mtu.
Kila mmoja wenu ana mapengo yake kadhaa.Mke na mume amnakua kama kaka na dada wanaokumbatiana kupeana faraja wkt wa kulala.Hapo bibi anakuhudumia na kukuhimiza kuishi healrhy kwa nguvu zake zote coz anajua ww ndo mtu pekee alonae duniani.Watoto saa hiyo wako busy na kazi na familia zao.Wakija ni dkk wanasepa.

SAsa ndo mbabu uko bqchelor hata bibi wakusema ngoja nikuchemshia chai ya tangawizi hicho kikohozi kitulie huna.Uko na housegirl.Anakupikia anakutupia hapo anarudi kwa boda wake next room waendelee kudinyana.Unahitqji kitu utaita hadi uchoke kajikausha.Ukizidiwa maradhi anaku treat kama mbwa na mshahara utalipa.
 
Hahaha haya ni mapenzi ya mwaka 47, humu duniani kumpata mtu wa hivyo sio rahisi , majambazi yamejaa kila kona , ni ngumu mno kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Najua jibu ni changamoto za ndoa ila ndo mana nashauri sogea tukae ili mtu akizingua anaondoka.Kisa gani mtu ashinde bar kisa mtu anayeweza kuwa replaced?Mambo yq hadi kifo kitutenganishe ni old school.
Good point.
 
Waweza kuwa mpweke ndani ya ndoa tena zile ndoa zenye leseni.
Ni kweli na ndio maana hizo sizitaki.
Mi natamani binadamu awe na uwezo wa kujitenga na mtu asiyempa furaha.
 
Aisee sijui kama mwenzio anaujua huu msimamo wako!, so, ukimuita "baby" kumbe moyoni unamaanisha "babu".

Nowadays ndoa za kweli zimebaki kwa ajili ya wasio na mali wakachume pamoja!.
Woga wako tu,mali alizokukuta nazo ama ulizomkuta nazo hazigawanywi,zinazogawanywa ni zile ambazo zimepatikana mkiwa ktk ndoa na mlishirikiana kwa namna moja ama nyingine,kwa sheria ya ndoa ya TZ
 
Kuwa ninapenda mali zaidi ya ndoa ni kweli uko sahihi.Wanawake wote ndoto yetu ni siku moja kuvaa shela zuri jeupe ila nimekataa shela sbb napenda nilivyovihangaikia bila msaada wa yeyote kuliko ndoa.Na kweli akili yangu iko kwenye mali zangu zaidi ya kwenye dushe lake.Dushe and pussy can easly be replaced ila unadhani upoteze kitu kama jengo/nyumba ni rahisi kupata kingine kwa muda mfupi ?

Pia "mume" wangu sio kwa ajili ya chochote zaidi ya mapenzi na sio sbb yakumtumia kutafuta heshima.Kama ni heshima ninayo na haitokani na yeyote..Hata nikiachika leo bado jamii yangu itaendelea kuniheshimu.

Nimekuelewa.
Hope nawe umenielewa🙏
Inatakiwa u control emotions zako dogo wakati wa kujibu,una jam sana bila kutafakari impact za majibu yako namna yanavyoweza kumfanya mumeo aonekane ashole
 
Kataa ndoa yako ina mnufaisha mwanamke.
Sababu kwa sheria za Tanzania mwanaume akiishi na mwanamke kama mume na mke kwa muda mrefu nadhani zaidi ya mwaka basi mwanamke anatambulika kama mke halali kwenye mgawanyo wa mali wakiachana. Hiyo hata wasipofunga ndoa na kupata cheti cha ndoa.
Kwa mwanaume hawezi kwenda kudai alichotafuta mwanamke kwenye ndoa ya aina hiyo.
Kwa hivyo bado hapo naona mwanaume kataa ndoa akatae kabisa kuishi na mwanamke.
 
Woga wako tu,mali alizokukuta nazo ama ulizomkuta nazo hazigawanywi,zinazogawanywa ni zile ambazo zimepatikana mkiwa ktk ndoa na mlishirikiana kwa namna moja ama nyingine,kwa sheria ya ndoa ya TZ
Ndoa kama jambo la pamoja inapoteza maana, kwanini hizo mali walizochuma separate wakioana wasiunganishe ziwe za familia?

Naona heri wale wanaokataa ndoa tu, kuliko hizi ndoa za kuviziana zimekaa kitapeli.
 
."...hawakuonyesha kujutia..." umetathmini kwa unqchokiona nje ila trust me hakuna anayefurahia kuishi upweke.Sio maneno yangu ni studies zimefanyika.Its not human nature.Hata mbwa ambae ni group animal hufa kwa sonona ya upweke.Paka ndo anaweza ishi kwa furaha bilq kampani.

Hao watu wa huko maulaya wanaugua mqgonjwa mengi ya ajqbu sbb ya upweke.Wanaishi kwa madawa.
Siombei Afrika tufikie huko..Wengi wao ni mqchizi fresh.
I do research for a living. Kitu kimoja tu umepatia. Tafiti kwa ujumla wake zinaonyesha kwamba kwa wastani, zingatia neno "wastani", binadamu walio kwenye ndoa wana furaha kuliko wasio kwenye ndoa. Ila kumbuka pia kwamba tafiti hizi nyingi zinawahusu wazungu. Tafiti za uhakika Africa kuhusu ndoa au useja ni karibu hazipo. Hata hizo za wazungu zina mapungufu (biases) mengi kiasi kwamba zina (validity)uhalisia mdogo sana.

Tukija kwenye uhalisia, kadiri muda unavyokwenda wazungu wengi wanachagua option ya "kataa ndoa". Huku Tanzagiza uhalisia kuhusu haya mambo bado haujulikani vizuri kutokana na uhaba wa tafiti za uhakika kuhusiana na suala la mahusiano.

Halafu kuna hii kitu Watanzania wengi huwa wanachanganya. Kuishi bila mwenza (sexual partner wa kulala naye na kuamka naye) haimaanishi una upweke. Unaweza ishi katikati ya kundi la watu au familia kubwa lakini bado ukawa mpweke namba moja duniani. Upweke au furaha ni hali unayoisikia ndani ya nafsi na haihusiani na idadi ya binadamu wengine wanaokuzunguka au unao ishi nao.

Waafrika tunapenda kuwaza kwamba tuna furaha na kwamba wazungu wana upweke/ hawana furaha. Kumbuka upweke wa kweli unahusianishwa na mambo mengi yasiyo na tija kwenye jamii. Sasa umeshawahi jiuliza kwanini hao wazungu wapweke wanaishi maisha marefu na wamefanikiwa karibu ktk kila nyanja kuzidi sisi: kisayansi, kiuchumi, kiteknolojia, ki haki za binadamu etc.
 
Ndoa ni sheria ambayo ilitungwa ili kulinda masilahi ya mwanamke. Sheria ya ndoa haijali chochote kuhusu mwanaume. Kijana wa kiume, kama hauoni ulazima au umuhimu wa kufunga ndoa, usifunge ndoa
Nakubaliana na wewe 100%.
Cha msingi ni kutafuta njia salama yq kuishi na mwenza bila ndoa ya kisheriq.
Kuishi pekee sio sawa.
Natamani Prenup ingeanza kutumika Tz.
 
Tuoe then mje mjigambe mbele ya Camera kuwa kuwa mna Degree 4..hamfui wakati huo huo mnataka sie tuwape kila aina ya uwekezaji ..kana kwamba familia zetu zilifanya uwekezaji kutosomesha ili nyie mje mjibebe hela zetu kirahis rahisi
Sijasema muoe kisheria.
Nimesema ishi sogea tukae kama mimi.
IIkitikea kuachana kila mtu anasepa na alichochuma.
 
Ndoa kama jambo la pamoja inapoteza maana, kwanini hizo mali walizochuma separate wakioana wasiunganishe ziwe za familia?

Naona heri wale wanaokataa ndoa tu, kuliko hizi ndoa za kuviziana zimekaa kitapeli.
Binafsi mali zangu nitalinda na kuishi upweke sitaishi ila huu uzi ni ushauri tu mwisho wa siku kila mtu ataishi vile inavyomfaa.
 
I do research for a living. Kitu kimoja tu umepatia. Tafiti kwa ujumla wake zinaonyesha kwamba kwa wastani, zingatia neno "wastani", binadamu walio kwenye ndoa wana furaha kuliko wasio kwenye ndoa. Ila kumbuka pia kwamba tafiti hizi nyingi zinawahusu wazungu. Tafiti za uhakika Africa kuhusu ndoa au useja ni karibu hazipo. Hata hizo za wazungu zina mapungufu (biases) mengi kiasi kwamba zina (validity)uhalisia mdogo sana.

Tukija kwenye uhalisia, kadiri muda unavyokwenda wazungu wengi wanachagua option ya "kataa ndoa". Huku Tanzagiza uhalisia kuhusu haya mambo bado haujulikani vizuri kutokana na uhaba wa tafiti za uhakika kuhusiana na suala la mahusiano.

Halafu kuna hii kitu Watanzania wengi huwa wanachanganya. Kuishi bila mwenza (sexual partner wa kulala naye na kuamka naye) haimaanishi una upweke. Unaweza ishi katikati ya kundi la watu au familia kubwa lakini bado ukawa mpweke namba moja duniani. Upweke au furaha ni hali unayoisikia ndani ya nafsi na haihusiani na idadi ya binadamu wengine wanaokuzunguka au unao ishi nao.

Waafrika tunapenda kuwaza kwamba tuna furaha na kwamba wazungu wana upweke/ hawana furaha. Kumbuka upweke wa kweli unahusianishwa na mambo mengi yasiyo na tija kwenye jamii. Sasa umeshawahi jiuliza kwanini hao wazungu wapweke wanaishi maisha marefu na wamefanikiwa karibu ktk kila nyanja kuzidi sisi: kisayansi, kiuchumi, kiteknolojia, ki haki za binadamu etc.
Binafsi naweza kubishia maneno ya Yesu ila sio ya mwanasayansi wa kixungu.

SAyansi inachosema ndicho ninachokiamini na huwezi kunibadilisha kisa umesema you do research for a living.

Hiyo option ya kataa ndoa sio kitu kipya kwa wazungu.Ni kipya afrika.Wazungu sio kataa ndoa tu kuna hadi no kids marriages.

Pia ukweli ni kwamba waafrika wana furaha kuliko wazungu hasa wa nchi za baridi.Hii nayo sijajibunia tu ila tamaduni zetu zenye kufanya tuchangamane na jua la muda wote ni vichocheo vya furaha.Wakati wa winter wazungu wengi wanakua depressed sbb yq giza na utqmqduni wao wa kutochangamana.So unakosea kusema TUNADHANI tuna furaha kuliko wazungu kwani ni kweli pamoja na umasikini wetu ila tuna furaha kuliko wazungu.

Hao wazungu wapweke wanaishi maisha marefu ndio ila ushatembelea nyumba za kutunzia wazee ukaona wanavyoishi? Thanks to their advanced technology inasaidia kufight magonjwa na kuwaongezea siku ila hawana furaha.

Huko ulaya couple ikizeeka wanakuja wasaidizi nyumban kwao kuwasaidia majukumu wasioyamudu ila anayeishu pekee akishindwa kujihudumia anahamishiwa nyumba za wazee.Huko anaenda kuishi na kuhudumiwa na strangers wasio na mapenz nae hence sonono na anakua ni wa madawa ya kutuliza akili muda wote
 
Nakubaliana na wewe 100%.
Cha msingi ni kutafuta njia salama yq kuishi na mwenza bila ndoa ya kisheriq.
Kuishi pekee sio sawa.
Natamani Prenup ingeanza kutumika Tz.
Kwa nini sio sawa ?
 
Back
Top Bottom