Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Mbona sikuelewi na wewe, kwamba mali umepambania wewe?
But that's your family, ukifa nani achukue?

By that age, Sidhani kama utakosa maturity ya kujua umuhimu wa familia yako na kuacha ubinafsi.. Sasa kumbe you're a parasite.

If that's so then why aren't you committed? Nyie ndo huwa na viburi ukipata mtu wa kukun vizuri nje unamwacha mume na watoto kwa sababu ya kiburi
Parasite?!
You wrong niccah!
Neva bn.
Neva will.
 
Sikatai ila ndoa , tulikua tunavutiwa nayo kwa sababu ililindwa na mfumo dume now hakuna jipya
Ni kweli ila ziko njia salama za kuishi pamoja.Maisha ya kuishi mwenyewe kama dume la nyani mzee si mazuri tuwe tu wakweli.
 
Hiyo sogea tukae na kuachana sioni umuhimu wake, ni bora tujikite kuzichnga shekeli ndio dawa ya upweke
Huishi sogea tukae na mtu kwa lengo la kuachana.Lengo ni kuishi na kuzeeka pamoja ila faida ya sogea tukae ni kwamba kama ni mwanamke kila siku atabehave good coz anajua akizingua kupigwa chini ni kama kupiga chafya.
Faida ya pili ni akizungue mnaachana bila kupotetezeana muda mahakamani na muhimu kuliko yote kama mkiachana kila mtu anaondoka na alichokuja nacho.Kaja na mawigi,asidhulumiwe,apewe mawigi yake aondoke nayo.

NB:shekeli haiondoi upweke.
 
Hiyo sogea tukae na kuachana sioni umuhimu wake, ni bora tujikite kuzichnga shekeli ndio dawa ya upweke
Huishi sogea tukae na mtu kwa lengo la kuachana.Lengo ni kuishi na kuzeeka pamoja ila faida ya sogea tukae ni kwamba kama ni mwanamke kila siku atabehave good coz anajua akizingua kupigwa chini ni kama kupiga chafya.
Faida ya pili ni akizungue mnaachana bila kupotetezeana muda mahakamani na muhimu kuliko yote kama mkiachana kila mtu anaondoka na alichokuja nacho.Kaja na mawigi,asidhulumiwe,apewe mawigi yake aondoke
 
Aisee sijui kama mwenzio anaujua huu msimamo wako!, so, ukimuita "baby" kumbe moyoni unamaanisha "babu".

Nowadays ndoa za kweli zimebaki kwa ajili ya wasio na mali wakachume pamoja!.
Babu in future yes.No prob.

Nakubaluana na wewe,ndoa za kweli yapaswa zifungwe na makapuku waanze ziro pamoja.
Serikali ikitaka ilete sheria ya prenup hapo hata mm nitavaa shela.
 
Yes Sir Gunner Im a man.
infact,mimi ni mbaba wa makamo,nina mvi ila nimezipaka supa black,nina mustach kama wa Pm.
Nina kitambi cha pesa.

Haya,tuendelee na mada.
*** you, ww ndo umesababisha nitengane na Seran saiz sina wa kuongea nae kisukuma😂
 
Hahaha haya ni mapenzi ya mwaka 47, humu duniani kumpata mtu wa hivyo sio rahisi , majambazi yamejaa kila kona , ni ngumu mno kama ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
Ofkoz ila mimi na mume wangu tunayaishi hayo mapenzi adimu ya year 47.Nitampenda na kumjali hadi kila mmoja wetu abaki na jino moja la mbele .Cha msingi asilete mtu wa 3 ktk mapenz yetu.Hapo nitakua woman from hell.Kwa ninqvyompenda najijuq siwezi kumcheat ila nyie wanaume ndo wachafuzi wa hali ya hewa
 
Back
Top Bottom