Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

Inatakiwa u control emotions zako dogo wakati wa kujibu,una jam sana bila kutafakari impact za majibu yako namna yanavyoweza kumfanya mumeo aonekane ashole
nilipinga kauli kuwa niko na mume wangu ili nimtumie kutafuta heshima kwa kusema na mm nina mume huyu hapa.Ndo nikasema msingi wa kuwa na mume wangu ni mapenz tu na sio kitu kingine chochote.Nikasema kama ni heshima tayr ninayo na haitokan na mm kuwa nae.

MImi naamini mtu hatakiwi kuwa na mume kwa sbb nyingine yeyote ile zaidi ya mapenzi.Ningekua simpendi mume wangu nisingekubali kuishi nae.
 
Kataa ndoa yako ina mnufaisha mwanamke.
Sababu kwa sheria za Tanzania mwanaume akiishi na mwanamke kama mume na mke kwa muda mrefu nadhani zaidi ya mwaka basi mwanamke anatambulika kama mke halali kwenye mgawanyo wa mali wakiachana. Hiyo hata wasipofunga ndoa na kupata cheti cha ndoa.
Kwa mwanaume hawezi kwenda kudai alichotafuta mwanamke kwenye ndoa ya aina hiyo.
Kwa hivyo bado hapo naona mwanaume kataa ndoa akatae kabisa kuishi na mwanamke.
Upweke unaua.
Stroke na moyo nje nje
 
Binafsi naweza kubishia maneno ya Yesu ila sio ya mwanasayansi wa kixungu.

SAyansi inachosema ndicho ninachokiamini na huwezi kunibadilisha kisa umesema you do research for a living.

Hiyo option ya kataa ndoa sio kitu kipya kwa wazungu.Ni kipya afrika.Wazungu sio kataa ndoa tu kuna hadi no kids marriages.

Pia ukweli ni kwamba waafrika wana furaha kuliko wazungu hasa wa nchi za baridi.Hii nayo sijajibunia tu ila tamaduni zetu zenye kufanya tuchangamane na jua la muda wote ni vichocheo vya furaha.Wakati wa winter wazungu wengi wanakua depressed sbb yq giza na utqmqduni wao wa kutochangamana.So unakosea kusema TUNADHANI tuna furaha kuliko wazungu kwani ni kweli pamoja na umasikini wetu ila tuna furaha kuliko wazungu.

Hao wazungu wapweke wanaishi maisha marefu ndio ila ushatembelea nyumba za kutunzia wazee ukaona wanavyoishi? Thanks to their advanced technology inasaidia kufight magonjwa na kuwaongezea siku ila hawana furaha.

Huko ulaya couple ikizeeka wanakuja wasaidizi nyumban kwao kuwasaidia majukumu wasioyamudu ila anayeishu pekee akishindwa kujihudumia anahamishiwa nyumba za wazee.Huko anaenda kuishi na kuhudumiwa na strangers wasio na mapenz nae hence sonono na anakua ni wa madawa ya kutuliza akili muda wote
You sound triggered but I will ignore that for a moment. Baadhi ya vitu umetaja kwenye hii comment yako nina uzoefu navyo wa moja kwa moja. I raised very specific points kuhusu happiness na upweke. Rejea hoja zangu, then zijibu moja baada ya nyingine ukiweza. One more comment: Je unajua kwamba depression rates na sera za kuhudumia vulnerable populations wakiwemo wazee nchi za magharibi zinatofautiana sana kati ya nchi na nchi. Sasa mtu unayeamini sayansi unaanzaje kukumbatia mawazo jumuishi kama hayo uliyoyaeleza kwenye comment yako hii? Don't you know that you are misleading?
 
You sound triggered but I will ignore that for a moment. Baadhi ya vitu umetaja kwenye hii comment yako nina uzoefu navyo wa moja kwa moja. I raised very specific points kuhusu happiness na upweke. Rejea hoja zangu, then zijibu moja baada ya nyingine ukiweza. One more comment: Je unajua kwamba depression rates na sera za kuhudumia vulnerable populations wakiwemo wazee nchi za magharibi zinatofautiana sana kati ya nchi na nchi. Sasa mtu unayeamini sayansi unaanzaje kukumbatia mawazo jumuishi kama hayo uliyoyaeleza kwenye comment yako hii? Don't you know that you are misleading?
Hilo la tofauti ya rate ya nchi na nchi naijua ndo mana nikasema kabisa HASA NCHI ZENYE BARIDI na zenye tamaduni za kutochangamana ktk maisha ya kila siku.

Mfano Spain hawana upweke ukilinganisha na nordic countries.
 
📌🔨🔨🔨KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!

mtoa mada wewe ni mamluki nimepitia PDF ya 2026 wewe haupo na chama hakikutambui.

Kataa ndoa ni itikadi thabiti yenye mizizi tangu karne ya 16.Hivyo usijipe umuhimu wewe endelea na ndoa huku hapakufai.Na hatukuhitaji.

CC; MWENYEKITI KATAA NDOA TANZANIA BARA Senior COMRADE dronedrake.

MAKATIBU WOTE KATAA NDOA KATIKA MATAWI YOTE YA BARA NA VISIWANI.
 
Hilo la tofauti ya rate ya nchi na nchi naijua ndo mana nikasema kabisa HASA NCHI ZENYE BARIDI na tamaduni za kutochangamana ktk maisha ya kila siku.

Mfano Spain hawana upweke ukilinganisha na nordic countries.
Spain (one country) vs Nordic countries (several countries). Not a fair , much less a scientific, comparison. Tuachane na hilo. Sasa hebu niambie msingi wa wewe kulinganisha depression/upweke rates kati ya nchi zote za "Ulaya" na nchi za 'Africa"? Unafananisha nchi za bara ambalo zipo taarifa za kuaminika kuhusu depression na nchi za bara ambalo tafiti za kuaminika kuhusu depression ni karibu hazipo. Seriously?
 
📌🔨🔨🔨KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI!!!

mtoa mada wewe ni mamluki nimepitia PDF ya 2026 wewe haupo na chama hakikutambui.

Kataa ndoa ni itikadi thabiti yenye mizizi tangu karne ya 16.Hivyo usijipe umuhimu wewe endelea na ndoa huku hapakufai.Na hatukuhitaji.

CC; MWENYEKITI KATAA NDOA TANZANIA BARA Senior COMRADE dronedrake.

MAKATIBU WOTE KATAA NDOA KATIKA MATAWI YOTE YA BARA NA VISIWANI.
Nilishapenya huko siku nyingi.
Infact,Iam the main and only sponsor wa hichi chama.
Usione nimetaka pafanyike marekebisho ukadhani nakurupuka.
Iim de don wa chama😃.

Actuare,nikiamua ufukuzwe chamani unafukuzwa ila huna madhara no need😃.
 
You right
Tuanze lini na turudi lini sasa.?


Na tuombe kabisa mods tukija na parody watuumbue.
So no parody(kama lipo).
HIi ni kukuonyesha vile nakupenda na kukujali mdogo wangu.🙏🪷🌺
 
Mimi pia ni kataa ndoa na wengi humu wanajua hili ila ukweli nitausema.

Ishu ya kataa ndoa ilianzia mitandaoni ila ishafika mitaani na vijana wameanza kuhubiriana na ninaiona hatar kubwa.Huu ukiwa utamaduni maisha ya wanaume wengi yataharibika na single maza wataongezeka sbb kataa ndoa wanataka watoto ila hawataki ndoa.Hivyo kataa ndoa ni laana Itakayoharibu maisha ya mwanaume,mwanamke(kuwa singo maza) na ya mtoto (kukosa malezi ya wazazi wote wawili ni hatari)

Kwenye bandiko nililoeleza kuwa mimi ni kataa ndoa nilisema ni kwa sababu nahofia nikiolewa kisheria italeta shida kwenye masuala ya tumali twangu iwapo nitatalikiwa ila kwenye hilo bandiko nilisema naamini ndoa ni kitu kizuri wawili wafananao wakapendana na kuishi pamoja.

Mimi kwa sasa ni 'mke' wa mtu ila sina cheti cha ndoa ila natimiza wajibu wote wa mke mwema kwa 'mume' wangu kipenzi❤️ na siioni tofauti yeyote kati yangu na wale wake wenye vyeti vyao kabatini na nina 'a very happy marriage life '. na niseme tu maisha haya yamenibadilisha kwa namna nyingi nzuri.Maisha ya wawili ni matamu asikudanganye mtu.

Kwa hiyo utaona kwamba mimi ni kataa ndoa nisieishi maisha ya upweke.Maisha ya nyeto na maisha ya kufia mwenyewe chumbani.Hii ndio aina ya kataa ndoa ninayowaonya nayo vijana.

Kijana ,ukitaka kuwa kataa ndoa kuwa kama mimi.Naelewa dhulma ya Mali itokanayo na ndoa ila usiishi mwenyewe.Binadamu ni mnyama wa kuishi kimakundi.Tafuta mwenza mnaeendana na kupendana then ishini sogea tukae style.

Studies zinaonesha watu wenye ndoa huishi maisha marefu kuliko wale wanaoishi wenyewe.Unajua ni kwa nini?Ni kwa sababu sio wapweke.

Upweke ni ugonjwa.Upweke huleta stress then depression.Unhealthy mind husababisha unhealthy body.Upweke huleta hadi magonjwa ya moyo na stroke.

Kijana,leo hii sio rahisi kuuhisi upweke sbb una kampani ya marafiki wa kwenda kula nao bia na good times ila kuna umri utafika rafiki zako wote wataoa na kila utakayempigia mkale bata hatatokea sbb ya dharura ilotokea kwenye familia yake.

Licha ya hivyo,hata wewe kuna umri utafika zile bata zilikua zinakufurahisha utaziona ni mateso tu.Utatamani uchill zako home na hapo ndo upweke utaanza process za kufupisha maisha yako.Wakati wenzako wakiwa wana cuddle na wenza wao wewe utashinda mitandaon kujifariji.Wateja wengi wa mitandao ni watu wapweke na wenye stress za upweke.Yaani unhappy people.Utakutana na post zao wameziandika usiku mzito.Mida ambayo wanandoa hubebishana jambo ambalo hufanya miili yao kitengeneza hormones nzuri zenye kuchochea furaha na furaha ni kinga ya stress na magonjwa.

Juzi kati kuna kataa ndoa kama sio fundi wake kwenda nyumbani kwake kuchukua vifaa vyake alivyovisahau angekufa.Kakutwa hoi hawezi hata kushika simu.Huyu kataa ndoa ana pesa chafu ila anaishi mwenyewe kwenye bonge ya jumba.


Thank you for your attention to this matter🙏
unakaa serious kabisa una preach uzinzi..??
Lakini nakuelewa, hakuna kitu kibaya kama Guilty Consciousness, inakutafuta vibaya sana na the only way to feel safe ni kuanza kutafuta sababu za ku-justify uhuni unaofanya. SOGEA TUKAE sio ndoa hata kama you are more than happy. SOGEA TUKAE haikupi benefit zozote zinazopatikana kwenye ndoa. Ni uhuni tu kama uhuni mwingine wowote. Kuna siku jambo litakukuta na utakumbuka huu ushauri. Kama mnapendana sana si mkafunge ndoa tu, Ndoa sio sherehe ni kiapo tu na kuhalalisha mambo ili mjulikane kihalali.
 
Back
Top Bottom