TheCrocodile
JF-Expert Member
- May 31, 2021
- 1,864
- 5,254
Sio ubunifu huu mkuu?😎Dah poor Africans
Hapa ndio tumefika kweli
Hiyo ndo Africa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tuna tatizo kubwa sana hili bara letu la giza.Wakati vijana wengi katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wakilalamikia changamoto ya ukosefu wa ajira, kijana mmoja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameibua wazo la kipekee la kujipatia kipato kupitia ubunifu wake.
Kijana huyo ameamua kuruhusu watu kumchapa kofi kichwani kwake palipo nyolewa kipara, ambapo kila kofi analopigwa humuingizia kiasi cha fedha. Kwa mujibu wa taarifa hizo, mtu anayehitaji kushiriki katika shughuli hiyo hulipa buku moja kwa kila kofi analompiga.
Mbinu hiyo imevutia maelfu ya watu ambao wamejitokeza kushiriki na kumpa kijana huyo fedha, huku wengi wakimpongeza kwa ubunifu wake wa kutumia hali iliyopo kutengeneza fursa ya kiuchumi badala ya kusubiri ajira rasmi.
Kitendo hicho kimezua mjadala mitandaoni, huku baadhi ya watu wakisema ni mfano wa namna vijana wanavyoweza kutumia ubunifu kujiajiri, wakati wengine wakitazama zaidi upande wa usalama na afya kutokana na aina ya biashara aliyoichagua.
Video: https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1BpsAnYZcR/
Hakuna ubunifu hapoSio ubunifu huu mkuu?😎
Hahahahahahahaha!!Hakuna ubunifu hapo
Title ulitakiwa kuwa "vijana wa Kiafrika waamua kujidhalilisha ili wapate ugali na mboga"
Khaaaa!!😂😂😂Hakuna ubunifu hapo
Title ulitakiwa kuwa "vijana wa Kiafrika waamua kujidhalilisha ili wapate ugali na mboga"
😂😂😂Siku akutane na kofi zito dishi litayumbaa
Daaaahhhhh🥹🥹Nakumbuka tukiwa form one Kuna jamaa nilikua namchapa kiboko mia, sharti langu ilikua iwe mbele za watu tukitoka shule, nilikua Nampa 500 namchapa viboko vi5
Tatizo lingine sugu tulilonalo wabongo ni kusifia mambo ya kijinga na kuyaita "ubunifu"....sasa hiyo hela, hayo maumivu na janga analojitengenezea unaona vipo sawa?Wakati vijana wengi katika nchi mbalimbali za Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla wakilalamikia changamoto ya ukosefu wa ajira, kijana mmoja kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ameibua wazo la kipekee la kujipatia kipato kupitia ubunifu wake.
Kijana huyo ameamua kuruhusu watu kumchapa kofi kichwani kwake palipo nyolewa kipara, ambapo kila kofi analopigwa humuingizia kiasi cha fedha. Kwa mujibu wa taarifa hizo, mtu anayehitaji kushiriki katika shughuli hiyo hulipa buku moja kwa kila kofi analompiga.
Mbinu hiyo imevutia maelfu ya watu ambao wamejitokeza kushiriki na kumpa kijana huyo fedha, huku wengi wakimpongeza kwa ubunifu wake wa kutumia hali iliyopo kutengeneza fursa ya kiuchumi badala ya kusubiri ajira rasmi.
Kitendo hicho kimezua mjadala mitandaoni, huku baadhi ya watu wakisema ni mfano wa namna vijana wanavyoweza kutumia ubunifu kujiajiri, wakati wengine wakitazama zaidi upande wa usalama na afya kutokana na aina ya biashara aliyoichagua.
Video: https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1BpsAnYZcR/
Hahahaha😂😂😂Hana tofauti na wanaopigana ngumi ili walipwe.