Kijana wa Congo abuni biashara ya kipekee, atoza watu shilingi elfu moja kumchapa kofi, wengi wavutiwa na ubunifu wake

Tatizo lingine sugu tulilonalo wabongo ni kusifia mambo ya kijinga na kuyaita "ubunifu"....sasa hiyo hela, hayo maumivu na janga analojitengenezea unaona vipo sawa?
Kwani huyu ana tofauti gani na boxers wale (mabondia) wanaopigana ngumi ulingoni?
 
Kama ushirikina vile!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…