Kobaz ndiyo zao hizo. Angalia ugomvi wa Shiah na Sunni.Hapa makafir washapata content, kobaz kaz wanayo
Kupigana kwa kugombea Mali hili lipo dunia nzima.Kobaz ndiyo zao hizo. Angalia ugomvi wa Shiah na Sunni.
Kwa wakristo mambo haya kuna kipindi KKT walianza huu uduanzi. Kugombea mali na uongozi hasa Kanda ya Kaskazini.
Hapo hiyo ni sawa kugombea uongozi kwenye dini. Kugombea Mali za kanisa siyo binafsi au za familia. Waislam wanagombea Mali za msikiti au za bakwata mfano Sheikh Ponda na Bakwata ardhi aliyo uziwa Manji.Kupigana kwa kugombea Mali hili lipo dunia nzima.
Ila kuuana sababu kugombania kuswalisha mmh.!
Wasomali ni wajeuri , wanajiamini kupitiliza na sio waoga hata chembe, kukutoa uhai huwa wanaona kama kuua nzi tu , ukiachana na mambo ya dini wapo hivyo tuItakuwa wana hasira kali sana, wakichanganya na imani kali inakuwa mlipuko.
Eeh si walikuwa wanagombea jambo la kheri.Wagomvi wanaenda peponi?