Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake

Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake

h
Utaskia mabinti eti hadi raha, sasa wewe tpka kishumundu mpaka dar eti umemfuata true love na baiskeli uone utakavyopewa za uso na wale mabinti wa Dar wa "I want a man who can pay my bills."
Hahahah wazungu wengi ndio wanatambua thamani ya penzi and they are ready to act right unapojitoa kwao kikweli kweli. They really appreciate the love they get.

Mbwa jike ni hawa black wetu. Wao kununuliwa Iphone,kulipiwa kodi na kutiwa Serena hotel kwao ndio mapenzi. Mbali na hapo utaambulia maumivu tu!

I wish watu wangeelewa jinsi mapenzi yalivyo matamu ukijiachia kwa akupendae kwa dhati. I once was there na niliinjoy haswaa!
 
Raha yake haisemeki kabisa, kwenye dimbwi hili la matapeli wapo wenye bahati wanaokota madodo na wanafaidi haswa😋😋😋😋 hadi najilamba aisee, mapenzi matamu
Dah, waliobahatika wanainjoy haswaa, ila mie nina hofu sana ku fall in love kwenye mazingira haya yaliojaa utapeli. Nahofia sana kumpenda mwanamke msaliti japo anaweza akawa vizuri kwenye unafiki ila huupasua moyo wangu vipande vipande. I don't want that in my life.
 
Wahindi wanarefusha sana mapenzi, mara wakimbizane kwenye miti mara waanze kuimba, wamezoea, kibongo bongo asingefika mwisho wa mtaa wake, ameshadangwa.
Ila wahindi wana ujinga ujinga flani hivi ..yaani anaweza kuamua kulia tu bila sababu au akaruka ruka tu bila sababu siku nzima..ukute huyo demu mzungu aliupenda huo uzuzu !!..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😀😀 Nitajitahidi niwe makini nifike nikiwa vizuri bila majeraha
Akose sababu, afunikwe na jitihada zako katika kulipigania penzi lenu mwishowe aitambue thamani ya mapenzi yako kwake.
Nawatakia njia iliyonjema mbele za Mungu katika kulifanikisha lengo lako.
 
Kuna wimbo fulani aliimba Ray C, mapenzi matamu niwapo nawe mpenzi, sioni mwingine wa kufanana na wewe......, hebu tuwekee ili tuusindikizie uzi wetu
Naikumbuka hii nyimbo na ilibamba sana. Mashairi kama yale ndio tuliyokuwa tumeyazoea, nyimbo za siku hizi unashindwa hata kumuimbia mpenzio hata kidogo mkiwa na watu hata faragha maana zimejaa maneno mengi yenye ukakasi mara "zama topeni utifue" mara "iwe kwa juu kwa chini naichuchumia" yaani ni mtafaruku abadani😂😂
 
Siwezi aseee
Sema hujapenda kwa kiwango hicho. Labda nikuulize swali; Joanah hujawahi toka mkoa mmoja mpaka mwingine kwasababu ya mapenzi I mean kumfuata mwenza wako?
 
Back
Top Bottom