Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake

Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake

Naikumbuka hii nyimbo na ilibamba sana. Mashairi kama yale ndio tuliyokuwa tumeyazoea, nyimbo za siku hizi unashindwa hata kumuimbia mpenzio hata kidogo mkiwa na watu hata faragha maana zimejaa maneno mengi yenye ukakasi mara "zama topeni utifue" mara "iwe kwa juu kwa chini naichuchumia" yaani ni mtafaruku abadani😂😂
Ya kale dhahabu ila haya ya Sasa yakifikia kuwa ya kale sijui yatakuwaje acha tuenjoy kwa mashairi murua
 
Raha sana yani kimsingi unakuwa high kuliko mwamba aliekula mjani, full time uko na raha tu haina kufeli na mambo yana flow stress free!
full barida😍😍😍 Raha tupu maisha mepesiiiiiii
 
Dah, waliobahatika wanainjoy haswaa, ila mie nina hofu sana ku fall in love kwenye mazingira haya yaliojaa utapeli. Nahofia sana kumpenda mwanamke msaliti japo anaweza akawa vizuri kwenye unafiki ila huupasua moyo wangu vipande vipande. I don't want that in my life.
Utapeli unatishia usalama wa hisia zetu Hilo liko wazi kabisa ila Kama ukimbahatisha mshikilie sawasawa, dunia imeumbiwa mapenzi jamani ukitaka uione chungu basi uwe katika msimu wa stress za mahusiano..........
 
Akose sababu, afunikwe na jitihada zako katika kulipigania penzi lenu mwishowe aitambue thamani ya mapenzi yako kwake.
Nawatakia njia iliyonjema mbele za Mungu katika kulifanikisha lengo lako.
Ameen my dear, asante sana. Na ikawe hivyo
 
Utapeli unatishia usalama wa hisia zetu Hilo liko wazi kabisa ila Kama ukimbahatisha mshikilie sawasawa, dunia imeumbiwa mapenzi jamani ukitaka uione chungu basi uwe katika msimu wa stress za mahusiano..........
Hakika 😎😎😎
 
Kabisa aisee ukibahatika kwenye hili unakuwa mtu mwenye furaha za ajabu 24/7 unatabasamu hata usingizini [emoji12][emoji12]Mapenzi raha banaa asikudanganye NTU ila siku hizi matapeli wa penzi wamekuwa wengi mno.
[emoji28][emoji1787][emoji1787]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Jaribu kwenda na baiskeli toka Dar mpaka kilimanjaro utaona utachokipata.Utaonekana kwanza bonge la fala
Alafu unafika Klm demu anakucheki kuanzia juu mpaka chini na uchovu ulionao waweza zimia kwanza😂😂
 
Back
Top Bottom