Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,151
Bado hawajaongezeka??!!!🙄Mkuu si umeona pic wako na watoto wao. So....
Bado hawajaongezeka??!!!🙄Mkuu si umeona pic wako na watoto wao. So....
😂😂😂😂 Wewe fakenipo hapa mjukuu wa kanjibai
Njoo basi mtoto mzuri😂😂😂😂
Mrembo naomba unitese 😍 😍
Ni story iliyotokea kwa Kijana wa Kihindi aliyesafiri maili 6000 hadi Sweden kumfuata na kumuoa kipenzi cha moyo wake. je walidumu?
Fuatilia picha na kisa hiki kifupi
Mnamo 1977 mwanamume wa Kihindi aliyeitwa P. K. Mahanandia aliendesha baiskeli maili 6,000 kutoka India hadi Sweden kuoa mwanamke wa Uswidi aliyeitwa Charlotte Von Schedvin. Aliuza kila kitu alichonacho kununua baiskeli ya mitumba kwa safari yake ndefu Ya maili 6000.
View attachment 1564585
Baada ya kufika tu Sweden mzee akajifotoa na mtoto
View attachment 1564586
Wakafunga ndoa
View attachment 1564587
Mara paap wakapata watoto wawili wa jinsia tofauti.
View attachment 1564591
Wako pamoja hata sasa.
Nb Kasie naomba picha na kibabu chako
mahondaw , na mwezio smart natamani muje kuwa hiviView attachment 1564588View attachment 1564589View attachment 1564590
Welcome to my world 😍😍
Nikutese mara ngapi kwa week?
Waliishia wapi mkuu??Haya Mambo yanatokea kweli mi nilikuwa na shuhudia kijana m1 jirani yetu alikuwa anatoka kwa miguu Musoma mjini hadi Mgango (Musoma vijijin) kumuona demu wake, kwa wenyeji wa Musoma watakuwa wanawekewa vzur hyo distance sio mchezo n parefu, Tena ilikuwa go and return ck hiyo hiyo
😆😆 Sasa hv imebaki Historia and bad enough walikuwa ndugu mtoto wamamkubwa na wamamdogo xo familia ilipinga mahusiano yaoWaliishia wapi mkuu??
Ready to mingle! Njoo pm bibie
Hahahahaha! Najaribu bahati yangu humu JfNakuona Mkuu unajirusha kivyako vyako 😜
Hahahahaha! Najaribu bahati yangu humu Jf
Na we unakuwa tapeliKabisa aisee ukibahatika kwenye hili unakuwa mtu mwenye furaha za ajabu 24/7 unatabasamu hata usingizini 😜😜Mapenzi raha banaa asikudanganye NTU ila siku hizi matapeli wa penzi wamekuwa wengi mno.
Humu hakuna maili6000Hahahahaha! Najaribu bahati yangu humu Jf