Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

Ikitokea hii tanzania ya vijana wa sasahv kati ya 100 wataenda wawili.

Hakuna nchi ya wanaume waoga kama sis watanzania , maneno mengi hakuna vtendo
Vita ni upumbavu.

Unaenda kupoteza uhai wako huku wanasiasa wanao gombana wapo kwenye viyoyozi wana wacheki mkipigana na kufa.
 
Kama uwezekano wa kupigana naye nikamshinda haupo, Binafsi Nita ondoka.
Panapotokea ukandamizaji hilo ndio linalofuata.

Hata wewe lazima utapambana tu, sioni shida watu kupambana kwa taifa lako kama wewe ambavyo hautakuwa tayari sehemu aliyokulea baba yako miaka zaidi ya 30 au 40 yupo hapo akaja muhindi akakuambia ondoka ni kwangu.
 
Dunia hii ni kubwa sana, kama uwezekano wa kushinda ni mdogo ni bora kuhama.

Ni sawa na Ukraine walijidai wanaweza kupambana na urusi lakini mwisho wa siku wao ndio wamepigwa vibaya, na maeneo yao yamechukuliwa na raia wao wengi kuuwawa.

Ilhali Ukraine angeweza kutoa maeneo hayo kwa amani tu sehemu nyingine ya nchi ikabaki kama ilivyo.

Dunia ya sasa sio ya kupigana tena.
 
Kwani hii ni vita ya kidini ?
[emoji115][emoji116]
Malaria 2 anakuja kutupa jibu mkuu, tusijali kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji115][emoji116]
ana akili chache mno huyu hawez kujua hili
Ohooooo [emoji16][emoji16]

So special njoo huku jibu letu limepatikana. Umeambiwa una 'brain' kiduchu huwezi kujua kama vita hivi ni vya kidini[emoji16]

Huu ugomvi wa wavaa msuli, ngoja nikae kando nione yupi atawahishwa kwenye mgao wa bikra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni falsafa ya juu sana ambayo bado haijafikiwa na binadamu wengi, tuishi kwanza kwenye utaifa.
 
Uongo
Mkuu magari na ajali zake zimeuwa watu wengi kuliko vita zote zilizokwisha piganwa hapa duniani- kama ni suala la watu kufa unahitaji kutushawishi zaidi
 
Hamas either waishe au waishiwe kabisa uwezo wa kusumbua.. Surrender or die
 
Huyo kijana,atafute nchi anayopenda akaishi huko, aiache Israel, kwa hiyo mtu mmoja ndo abadili sera za IDF? Yeye akaungane na jeshi la Hamas ili awasaidie hamas, sheria ya jeshi hakuna kuhoji, ikitaka mambo 6a kuhoji nenda kwenye siasa.
 

Hivi mkuu magaidi kama hamas unadeal nayo vp zaidi ya mtutu wa bunduki?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…