Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

Ikitokea hii tanzania ya vijana wa sasahv kati ya 100 wataenda wawili.

Hakuna nchi ya wanaume waoga kama sis watanzania , maneno mengi hakuna vtendo
Vita ni upumbavu.

Unaenda kupoteza uhai wako huku wanasiasa wanao gombana wapo kwenye viyoyozi wana wacheki mkipigana na kufa.
 
Kama uwezekano wa kupigana naye nikamshinda haupo, Binafsi Nita ondoka.
Panapotokea ukandamizaji hilo ndio linalofuata.

Hata wewe lazima utapambana tu, sioni shida watu kupambana kwa taifa lako kama wewe ambavyo hautakuwa tayari sehemu aliyokulea baba yako miaka zaidi ya 30 au 40 yupo hapo akaja muhindi akakuambia ondoka ni kwangu.
 
Panapotokea ukandamizaji hilo ndio linalofuata.

Hata wewe lazima utapambana tu, sioni shida watu kupambana kwa taifa lako kama wewe ambavyo hautakuwa tayari sehemu aliyokulea baba yako miaka zaidi ya 30 au 40 yupo hapo akaja muhindi akakuambia ondoka ni kwangu.
Dunia hii ni kubwa sana, kama uwezekano wa kushinda ni mdogo ni bora kuhama.

Ni sawa na Ukraine walijidai wanaweza kupambana na urusi lakini mwisho wa siku wao ndio wamepigwa vibaya, na maeneo yao yamechukuliwa na raia wao wengi kuuwawa.

Ilhali Ukraine angeweza kutoa maeneo hayo kwa amani tu sehemu nyingine ya nchi ikabaki kama ilivyo.

Dunia ya sasa sio ya kupigana tena.
 
Kwani hii ni vita ya kidini ?
[emoji115][emoji116]
Malaria 2 anakuja kutupa jibu mkuu, tusijali kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji115][emoji116]
ana akili chache mno huyu hawez kujua hili
Ohooooo [emoji16][emoji16]

So special njoo huku jibu letu limepatikana. Umeambiwa una 'brain' kiduchu huwezi kujua kama vita hivi ni vya kidini[emoji16]

Huu ugomvi wa wavaa msuli, ngoja nikae kando nione yupi atawahishwa kwenye mgao wa bikra

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ikiwezekana yafutwe.

Kwani binadamu hawezi kuishi bila majeshi na kupigana?

Vita vyote vilivyo piganwa na vinavyo piganwa aliyeishia na anaye ishia kufa ni binadamu.

Dunia na ardhi ipo vilevile.

Sasa kupoteza uhai wako kwa vita ni upumbavu wa hali ya juu.

Uraia ni dhana ya kufikirika.

Nationality ni Fictional identity.

Kufa ukidai kwamba unapigania taifa lako ni upumbavu wa hali ya juu.
Hii ni falsafa ya juu sana ambayo bado haijafikiwa na binadamu wengi, tuishi kwanza kwenye utaifa.
 
Uongo
Mkuu magari na ajali zake zimeuwa watu wengi kuliko vita zote zilizokwisha piganwa hapa duniani- kama ni suala la watu kufa unahitaji kutushawishi zaidi
 
Hamas either waishe au waishiwe kabisa uwezo wa kusumbua.. Surrender or die
 
Huyo kijana ana akili sana
Yeye kapata akili kabla hajajiunga.Karibuni nitawaletea kisa cha yule mwenzake kwanza aliyegoma kupigana akiwa na bunduki kamili halafu akatoka kabisa jeshini akipinga mafunzo ya jeshi la IDF kuwaona wapalestina wote kama ni maadui na viumbe vya kuuliwa tu,
Huyo kijana,atafute nchi anayopenda akaishi huko, aiache Israel, kwa hiyo mtu mmoja ndo abadili sera za IDF? Yeye akaungane na jeshi la Hamas ili awasaidie hamas, sheria ya jeshi hakuna kuhoji, ikitaka mambo 6a kuhoji nenda kwenye siasa.
 
Upumbavu ni kupoteza maisha yako kupigania ardhi ambayo ipo milele.

Halafu kuna mijitu ipo ikulu kazi kuzunguka kwenye viti tu, ikitoa order.

Moja ya kazi ya kipumbavu kwa binadamu ni uanajeshi.

Huyo kijana sio muoga.ila ametumia akili tu vyema.

Huwezi kupoteza maisha kisa Vita kupigana na binadamu mwenzako kisha mwisho wa siku wote mnakufa.

Mnachopigania kipo vilevile.

Hivi mkuu magaidi kama hamas unadeal nayo vp zaidi ya mtutu wa bunduki?!
 
Back
Top Bottom