Kijiji ambacho bado kuna mboga za bure kwa majirani ujue huyo jogoo unayesema anauzwa elf 25 huko kwenye hicho kijiji labda elf tatu.Kama kichwa kinavyojieleza..; Nimefanya uchunguzi wangu mdogo nimegundua maisha ya kijijini yana unafuu na raha zaidi ya maisha ya mjini kwa kijana anayejitafuta..!
Kijijini maisha si mazito kama mjini mana kijijini unapata mboga za majani bure kabisa kwa majirani shambani au unapanda mwenyewe mana ardhi ipo ya kutosha kufanya biashara ya mbogamboga na hata ufugaji wa kuku wa kienyeji..!
Pande hizi nilipo kuku wa kienyeji jogoo aliyeshiba ni elfu 25 mpaka elfu 30 na tetea ni kumi na tano...!!
Vijijini kumenoga, turudi tuvijenge vijiji vyetu na tubaki tuviendeleze vijiji vyetu
Sahizi huku kijijini kazi kwa siku ni tsh elfu saba na chakula unapata....!! Kama unabidii unalala na hata elfu kumi na nne na msosi umepiga siku imeisha hiyoKijijini hapana kwa kweli yaani unapewa ekari moja ung'oe visiki malipo buku 5.
Kazi ngumu malipo kiduchu bora kutembeza karanga hapa town.
Sahizi huku kijijini kazi kwa siku ni tsh elfu saba na chakula unapata....!! Kama unabidii unalala na hta elfu kumi na nne na msosi umepiga siku imeisha hiyoKijijini hapana kwa kweli yaani unapewa ekari moja ung'oe visiki malipo buku 5.
Kazi ngumu malipo kiduchu bora kutembeza karanga hapa town.
Umeoona....! Kijijini kitamu sasa kwa sasa dili zote za town now vijijini fresh tu.....!! Nipo zangu huku bulubuluNiliishi kijijini miaka flani hapo kati.....
Nikiwa na elf 30 inamaliza mwezi ndani hakuna hata cha kununua, mishahara inakutana kwenye account hakuna matumizi.
Ilaaaa...... mjini! Mjini tu, mjini patamu acha mshahara uishe tu kabla haujaingia, ila mjini kuzuri na kunaleta akili.