Kijana wa kiume mwanafunzi wa shule ya Msingi anaingiliwa kinyume na maumbile !Msaada hatua za kuchukua

Rafiki yangu ambae ni baba wa mtoto yuko nje ya nchi kwa masomo.

Nimewaza kwenda shule kwanza kuongea na walimu wanipe abcd za mtoto.

Kuna ushauri wako umenipa utanifaa pia.

Nashukuru sana rafiki.
 
Ukimpata mtu ambae wanaiva na dogo mtu mzima mfano babu yake,bbi au mjomba au hata wazazi atasema ila kama anakuogopa ni ngumu kusema
 

Mimi ni mtu mzima kidogo,watu wanaimani na mimi mtaani kwangu na huyu ni mtoto wa rafiki yangu
Angekua wangu ningeshamaliza hili kimya kimya.
 
Nilitaka niseme muacheni mtoto afaidi sema acha niwe serious Sasa

Watoto wengi wanakua na tabia hvi kutokana na wababa kukwepa majukumu yao kama babu zetu, mtoto wako wakiume hakikisha unakaa nae sana ukimaliza shughuri zako za kuingiza kipato toka nae kwenye sehemu za kiume usiruhusu mtoto akae sana nyumbani na kujihusisha na mambo yakike kwa asilimia kubwa hasa akiwa katika umri wa 3-15.

Usiruhusu mtoto wako awe junior dunia ishaharibika, huruma sio malezi utazalisha shoga tu.

Mfanye mwanao awe mkakamavu sio mjinga mjinga, ikibidi mtafutie hata demu akibalehe tu

Mtoto kuwa shoga ni fedheha kwababa TU mama atamfanya shost yake

Kuwa makini narudia huruma sio malezi
 
Ushoga ni Spirit.... Maombi ya Nguvu ni msaada tosha.

Yuko Shoga mmoja maarufu nimemsahau jina, Mungu kamuokoa na Sasa ni Mchungaji, Mungu aliruhusu apitie aliyopitia ili aje kusaidia wengine.
 
Upumbavu unaanzia hapa.

Kwann jina halijatajwa?
Muacheni mtoto afaidi inaonyesha anafurahia hilo na mama amelibariki hilo.
Huyokama kazoea na anapata raha hawezitaja huruma sio malezi wakati unamubembeleza akitoka hapo anaenda kuhemewatena tatizo linazidi kuakubwa peleka akale kibano wakiume huyo tuokoe taifa
 
Ushoga ni Spirit.... Maombi ya Nguvu ni msaada tosha.

Yuko Shoga mmoja maarufu nimemsahau jina, Mungu kamuokoa na Sasa ni Mchungaji, Mungu aliruhusu apitie aliyopitia ili aje kusaidia wengine.
Yule niushetani unamzungumzia yule wa misalaba
 
Ningeshafika hospital na polisi saa nyingi, mambo mengine hayavumiliki
 
So watu tunaoamini watulelee wakina junior ndio hao wana wasodomize,shuleni,kanisani,madrasa,kote wanafanyiwa ukatili huu,sehemu gani salama kwa mtoto?? Lol no wonder ile gender wanasema they will choose bear..
 
Dah watu humu JF wanatoa comments chafu kwa sababu hayajawakuta
The community is so toxic nowdays, yani mtu ana stress za maisha anakuja kuzimalizia humu jukwaani. Watanzania sijui tumekuwaje siku hizi
 
Kuna mijitu sijui ni kupiga nyundo ya kichwa,

Unaendaje kumharibu mtoto wa mwenzako,

Huyo mtoto ana marafiki?

Ni marafiki wa aina gani?

Ni mdogo bado ndiyo,

vipi ana sound kama watoto wenzie wa kiume ?

ama ana egemea upande wa ke ?

Kwann mtoto akatae kumtaja muhusika je ni ndugu, au kiongozi wake wa dini au ni mwalimu au raia??

Kaeni naye chini, aseme ukweli watafutwe rafiki zake wahojiwe indirect way,,

Akizingua ale kibano, baadhi ya watoto wanatishiwa hivyo anaogopa kumtaja muhusika huku anayeumia na kuharibika ni huyo kijana mdg!!!!!
 
Nenda kwa afisa ustawi wa jamii. Haya yote atayashughulikia. Ukiyashughulikia kama mtu binafsi yarakushinda na mtto ataendelea kufanyiwa. Anzia pale kwa mtendaji huwa wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…