Olodarasero
Senior Member
- Aug 4, 2024
- 122
- 196
Usitusumbueee
mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenyewe
Binadamu wanapitia mambo magumuHakosekani mtu atakayekutunza,wapi uliwaikuona mtu kama huyo akakakosa muangalizi. Ndoa siyo kila kitu.
AhahaHakosekani mtu atakayekutunza,wapi uliwaikuona mtu kama huyo akakakosa muangalizi. Ndoa siyo kila kitu.
Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe Unapiga nguo pasi mwenyewe Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe Unajitandikia kitanda mwenyewe Unajiandalia chakula mwenyewe Unaishi peke yako Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.kElewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu kutatua hilo tatizo mapema.
Sijui,Ikitokea umevunjika kiuno, ni nani atakayekuwa anakusafisha pale kitandani?
Nimecheka kifala🤣Ikitokea umevunjika kiuno, ni nani atakayekuwa anakusafisha pale kitandani?
Tunapokuwa wazima tunakuwa wabishi sanaNimecheka kifala🤣
Tafuta unayemuamini kabla maji hayajazidi ungaSijui,
Una uhakika mke wa ndoa anaweza kukufanyia hayo?
Maana kuna jamaa yangu alikuwa mfanyakazi mwenzangu kupata matatizo ya macho tu mkewe kamkimbia
Sa hv tunaangalia namna ya kumsaidia
Binafsi nimeoa ila sina imani naye na sitakuja kumuamini mwanamke
Ukweli mtupuKama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-