Kijana wa kiume mwenye miaka 40+ kuna ushauri wenu hapa

Usitake mtu aishi maisha unayoyafikiria kuwa sawa.

Watu waishi kwa kufuata sheria na kanuni mbalimbali za nchi

Tufurahie maisha
 
Ni maamuzi
 
Ikitokea umevunjika kiuno, ni nani atakayekuwa anakusafisha pale kitandani?
Sijui,

Una uhakika mke wa ndoa anaweza kukufanyia hayo?

Maana kuna jamaa yangu alikuwa mfanyakazi mwenzangu kupata matatizo ya macho tu mkewe kamkimbia

Sa hv tunaangalia namna ya kumsaidia

Binafsi nimeoa ila sina imani naye na sitakuja kumuamini mwanamke
 
Tafuta unayemuamini kabla maji hayajazidi unga
 
Ukweli mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…