Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
Wengi wenu humu ndani tayari mna ule uzoefu. Unaombwa kitu/msaada na mwanamke halafu unamkatalia labda sababu hautaki au hauwezi kumsadia kwa wakati huo. Baada ya hapa mwanamke anakughost na kukata mara moja ule urafiki/ukaribu wenu.
Jaribu kuvuta kumbukumbu wanawake wote waliowahi kukuomba msaada au kitu chochote na ukakataa/ukashindwa kuwasaidia. Wangapi waliendeleza ukaribu na vibe kama mwanzo?
That's how smart and business minded women are. Most women will never hang around or befriend you without getting to benefit from you. Bro, be smart and business minded like women. Never befriend a woman you aren't gaining anything tangiable from.
Ukiomba urafiki na mwanamke na akisema hapana, usiende mbali zaidi ya hapo. Usipige, usitume text kutaka kumshawishi afikirie ombi lako. You don't have to start simping or subject yourself to her friendzone. Insteady, ignore her immediately and talk to another woman.
Ngoja nikwambie ukweli
Ukiendelea kutafuta validation yake ili kumshawishi akufikirie na kukubalia. Anaweza kukufikiria kwa mawazo kwamba utakua msaada kwake kifedha.
Ongera kaka, hatimae umekubaliwa. Sasa ngoja nikutaarifu sasa anza kuweka akiba ya hela. Maana soon baada ya kukubaliwa ombi lako gesi itamuishia, kodi itaisha, atahitaji kununua smartphone ya level ya juu zaidi ya ambayo anayo. Na hapo hatawakumbuka wazazi au ndugu zake. Macho yake yote yatakua mfukoni kwako.
Kumbuka wakati wowote atakapotaka hela na ukija na story za hapa na pale hapo ndio mwisho wa vibes, she will immediately go cold and if you didn't meet up that will be the end.
Vijana jifunzeni ku-date kimkakati kama wanawake. Mwanamke hana bikira, hana hela, hana connections, hana chochote kinachoendelea kwenye maisha yake. Sasa wa nini huyo. Huyo ni liability achana nae. Kama ni lazima upige basi piga ukimakiza haja zako achana nae, usiweke kambi ya kudumu.
Mwangalieni Jux, kaacha pisi kali ambazo ni liability kachukua mwanamke wa kawaida kabisa kutoka Nigeria. Cheki Priscilla alivyoipaisha career ya Jux kimuziki na kibiashara. Sasa hivi Jux ni maarufu Nigeria, nchi yenye population kubwa Afrika nzima. Sasa niambie wale slay queens wakina Caren wangeweza kumpeleka Jux mbele au wangeishia kumnyonya tu bila kuleta output yoyote kwenye maisha yake.
Unapokua au unapotaka kuwa kwenye mahusiano na mwanamke fikiria na wewe utapata tangiable value gani kuwa nae
Will simps read this message -yes
Will simps understand this message -yes
Will simps follow and obey this message -no
That's why simp always learn the hard way.
Don’t be a simp