Kijana wa kiume, yaangalie mahusiano kwa mtazamo wa kibiashara

Kijana wa kiume, yaangalie mahusiano kwa mtazamo wa kibiashara

Hata kanuni iwe easy and accurate kwa kiasi gani, wazembe watakuwepo tu. Mchezo ulipofikia kwa sasa usiingie kwenye dating pool na emotions tu, make sure unaingia na akili pia. While you're are waiting for the right one, have some fun with wrong ones.
Hahaha. Wakumbushe pia vijana kwamba it's very very very risky to hit and run. Sumu haionjwi.
 
Kitu nilichojifunza wanawake wote wanaokukimbia sababu huna kitu ni wanajiuza,.......akiondoka hata siumii yaani....nikiwa na hela za mchezo namuita namgonga anasepa,akiomba hela namnyima,.........fun fact mwanamke anayekukimbia sababu umemnyima elfu 20,ukiwa na elfu 40 ukimuita hawezi kukataa hata iweje😃😃
The good thing wapo WAPUMBAVU watakuja kuwapigia magoti hao Malaya huku wakibubujikwa na machozi wakiwavisha Pete na kuwatolea mahali huku wazazi wao wakishangilia kama MAZUZU,😀😀
IT IS THE GAME,EITHER YOU PLAY OR BEING PLAYED
Love Game only who knows the cheat codes wins
 
Wanawake ni maua yetu.... Mwagilia ua unalolipenda ili likupe harufu nzuri na kukutuliza akili.... Ukishindwa watafute ukiwa na hamu ulipe usepe.
 
Back
Top Bottom