Kijana wa kiume, yaangalie mahusiano kwa mtazamo wa kibiashara

Kuna mwanangu kaambiwa tudate miezi mitatu utakuwa unanipa HELA🤣🤣🤣
 
Nyege ndio zinasumbua bro, unakuta Mtoto mkali kumwacha hivi hivi sio rahisi
 
You are right 100%
 
Kama ni lazima upige basi piga ukimakiza haja zako achana nae, usiweke kambi ya kudumu.
Therein lies the problem. Mbinu hii imewamaliza wengi sana. Unasema napita tu, unajikuta umerudi. Na hapo ndo unanaswa vizuri sana. Wengi wamejikuta wamezaa nao mpaka kuwaoa, huku wakisistiza kwamba walikua wanapita tu. Humtaki mtu mchukulie kama sumu. Usionje.
 
Hata kanuni iwe easy and accurate kwa kiasi gani, wazembe watakuwepo tu. Mchezo ulipofikia kwa sasa usiingie kwenye dating pool na emotions tu, make sure unaingia na akili pia. While you're are waiting for the right one, have some fun with wrong ones.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…