Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kulima wewe?😅Naomba kuuliza umbali kutoka hapo had town ni kias gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kwann nisiwezee? Na nimezaliwa kwenye familia ya mkulima.Unaweza kulima wewe?[emoji28]
Yaani ukafanye hiyo kazi ya shamba? Acha urongo banaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kwann nisiwezee? Na nimezaliwa kwenye familia ya mkulima.
Mimi kuna mmoja nimeweka mpaka solar na bado anasumbua.Kama nafasi ipo mnunulie japo sola
SanaUna roho nzuri
😂😂😂😂Sio uongo na wala unachoandika sio utani.
Nilipata vijana hapa dar kipindi cha nyuma kabla sijawajengea hapo nilipanga chumba kijijini hapo nikawaekea vitu vya kula.
Mchele,unga,viungo (nyanya,karoti,kitunguu),dagaaa...
Siku moja nikapiga simu nikawauliza mko wapi? wakasema wapo nyumbani, Leo hamjaenda kazini? wakasema hawajaenda (wana njaa).. kwanini? Chakula mboga karoti zimeisha kuna nyanya na kitunguu tu hatujapika..
Nikagomba pale ikaisha, Siku ingine wakanletea Kubwa KULIKO wamechoka UGALI na WALI wamekinai wanaomba Hela wanunue Ndizi labda au vyakula vingine.
KESHO yake wote walikua wanawasiliana kwenye simu, Mmoja akiwa anaelekea MBEYA kwao mwingine MBAGALA huko...
Mwaka jana nilikuwa jobless. Ingekuwa ni sasa ningekuja maana me mwnywe mtu pori na maisha ya upweke kama hayo me nayapenda balaaSana
Mm Nina job freshi sema hizi naruka nazo tu kama zinalipa maana kujiongeza karuhusu na Nina plan ya kufuga mwakani.Mwaka jana nilikuwa jobless. Ingekuwa ni sasa ningekuja maana me mwnywe mtu pori na maisha ya upweke kama hayo me nayapenda balaa
Upo kama mm mkuuMwaka jana nilikuwa jobless. Ingekuwa ni sasa ningekuja maana me mwnywe mtu pori na maisha ya upweke kama hayo me nayapenda balaa
Wewe siyo Kijana😃Ngoja nichangamkie fursa💆
Aloo huko kwangu ndio ingekuwa mwake mwakeUpo kama mm mkuu
Maisha ya chaka kama hayo safi sana
Na jamaa katoa ruksa ukitaka kufuga kupanda ni ww tuu ,huko Kuna faa Ngoma ngumu watoto wa mama hawawezi Maisha hayo
Mashamba huko yanauzwa laki 2 hadi 4 kwa hekari moja.Upo kama mm mkuu
Maisha ya chaka kama hayo safi sana
Na jamaa katoa ruksa ukitaka kufuga kupanda ni ww tuu ,huko Kuna faa Ngoma ngumu watoto wa mama hawawezi Maisha hayo
[emoji23][emoji23][emoji23] naweza eti, c ni life tyuuh.Yaanu ukafanye hiyo kazi ya shamba? Acha urongo banaaaa
Naenda badili jinsiWewe siyo Kijana😃
mashamba yanauzwa kwa hii bei chief?Mashamba huko yanauzwa laki 2 hadi 4 kwa hekari moja.
Hili suala la kusema kijana anaweza kupanda na kufuga: hapa akianza kufanikiwa boss ataanza kutamani na kumletea figisu asilime ama kufuga.
Au atamruhusu vizuri ila atakuwa anachukua mazao shambani hadi kero.
Masikini hatakiwi kua na mbwembwe mzee.Mm Nina job freshi sema hizi naruka nazo tu kama zinalipa maana kujiongeza karuhusu na Nina plan ya kufuga mwakani.
Sad news ni kwamba inahitajika uwe huna hata mawazo kidogo ili bos kubwa akupeleke mchakamchaka vizuri. Mimi sipendi bos anaetaka kutake grants... Yani ukutane na bos Ambae akikuona mfanyakaz wake anaona kichefchef. Bosi wa aina hii atamtafuta mchawi tu
NB: Haihusiani na mada hii, huu ni mfano tu.
Ardhi ya Kisarawe ni mali kuliko wilaya zote za Mkoa wa Pwani.mashamba yanauzwa kwa hii bei chief?
vipi sio productive land