Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

😂😂😂😂
 
Mwaka jana nilikuwa jobless. Ingekuwa ni sasa ningekuja maana me mwnywe mtu pori na maisha ya upweke kama hayo me nayapenda balaa
Mm Nina job freshi sema hizi naruka nazo tu kama zinalipa maana kujiongeza karuhusu na Nina plan ya kufuga mwakani.

Sad news ni kwamba inahitajika uwe huna hata mawazo kidogo ili bos kubwa akupeleke mchakamchaka vizuri. Mimi sipendi bos anaetaka kutake grants... Yani ukutane na bos Ambae akikuona mfanyakaz wake anaona kichefchef. Bosi wa aina hii atamtafuta mchawi tu

NB: Haihusiani na mada hii, huu ni mfano tu.
 
Mwaka jana nilikuwa jobless. Ingekuwa ni sasa ningekuja maana me mwnywe mtu pori na maisha ya upweke kama hayo me nayapenda balaa
Upo kama mm mkuu
Maisha ya chaka kama hayo safi sana
Na jamaa katoa ruksa ukitaka kufuga kupanda ni ww tuu ,huko Kuna faa Ngoma ngumu watoto wa mama hawawezi Maisha hayo
 
Upo kama mm mkuu
Maisha ya chaka kama hayo safi sana
Na jamaa katoa ruksa ukitaka kufuga kupanda ni ww tuu ,huko Kuna faa Ngoma ngumu watoto wa mama hawawezi Maisha hayo
Mashamba huko yanauzwa laki 2 hadi 4 kwa hekari moja.

Hili suala la kusema kijana anaweza kupanda na kufuga: hapa akianza kufanikiwa boss ataanza kutamani na kumletea figisu asilime ama kufuga.

Au atamruhusu vizuri ila atakuwa anachukua mazao shambani hadi kero.
 
mashamba yanauzwa kwa hii bei chief?

vipi sio productive land
 
Masikini hatakiwi kua na mbwembwe mzee.
 
mashamba yanauzwa kwa hii bei chief?

vipi sio productive land
Ardhi ya Kisarawe ni mali kuliko wilaya zote za Mkoa wa Pwani.

Mwenyewe ninajilaumu kwanini nilienda kununua Vigwaza-Chalinze.

Ukifika pale Kisarawe mjini kuna bango lina tangazo la mashamba ya laki 4.

Nimewahi kuitiwa shamba la laki na 90 huko Kisarawe.

Sijui vijana wanakwama wapi.

Changamoto ni kwamba mashamba kama haya mengine ni bodaboda pekee ama trekta inafika huko.

Ni mpaka uwe na passion na mashamba ndiyo utaona raha yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…