atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Atakua anashinda anachart [emoji23][emoji23],hizi sim zina ulevi mbaya usipokua makiniShamba boy ana smartphone[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakua anashinda anachart [emoji23][emoji23],hizi sim zina ulevi mbaya usipokua makiniShamba boy ana smartphone[emoji3]
PoleHuyu kaja na story kabisa ya kusikitisha😂😂😂😂.
Nimeandika kutokana na uzoefu wangu shambani na hata hapa JF kuna mtu alikuwa analalamika kuhusu mwenye shamba kuchukua mazao shambani wakati hakumsaidia kulima.Bosi yupi huyo? alienunua shamba akaenda jenga huko nyumba aje achukue mazao yako?
anaekulisha bure
anaekulipa na mshahara
hakudai chochote
ulime achukue mazao yako, Heka mbili utavuna nini atakachochukua ? umesoma vizuri ukubwa wa shamba?
Heka mbili utavuna nini ambacho kitamtamanisha huyo unaemuita Bosi?
Muna underrate power ya smartphone but thing is real company kwa life la sasaAtakua anashinda anachart [emoji23][emoji23],hizi sim zina ulevi mbaya usipokua makini
😂😂😂😂 tulia weweumesomea cuba course gani?
Oooh bas sawa, naomba nije mie kukaa hapo.30km kutoka Hapo hadi Mlandizi Stand.
Usafiri Boda 6000 gari 3000
Ndo nataka nkaishi na basha wangu hapo shamba, tuka enjoy life LA kisarawee.utakuwa unalimwa kwenye nyumba ya watu wewe
Utaweza kushika jembeNaomba kuuliza umbali kutoka hapo hadi town ni kiasi gani?
Nipigie Mkuu. 0621275256. Kwa ajili ya ku-ultilize hilo eneo. Taaluma ya kilimo ninayo, ka-mtaji ninako, ujuzi wa ujasiriamali ninao.Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika.
Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika.
Nyumba imekamilika inayofaa kuishi binadamu aliekamilika.
Chakula: Juu yangu muajiri
Mshahara: Makubaliano
View attachment 2813408View attachment 2813408
Picha hapo Juu ni nyumba iliyo Shamba.
Nimeipiga picha nikiwa shamba/kiwanja cha jirani ambae yeye tayari kwake ni kusafi. Ukiangalia hiyo picha kuna eneo halina majani hapa mwanzo, hiki ni kiwanja/shamba cha mtu mwingine yeye kashajenga shamba lake safi kiwanja kimenyooka kama Azam Complex.
Na Kijana ninae mtaka ndio nataka aondoe ile nyumba kutoka kati kati ya majani alime kote kipatikane kiwanja kisicho na majani Nyumba ikae hapo kati. Jukumu kubwa ni hilo usafi wa kiwanja muda wote jani lisiote hata 1.
NOTE: Akitokea mtu na familia yake anataka kukaa huku anakaribishwa, mshahara tutakubaliana, chakula juu yangu muajiri. Ruksa ukitaka kulima, ruksa ukitaka kufuga, ruksa kufanya chochote.
Muhitaji alie serious tu karibu inbox.
Ukaliwe kimasiharaNgoja nichangamkie fursa💆
Mtoto mayaimayai huyu anakuchecheta tu,akienda huko ataenda kulimwa yeye..😅Yaanu ukafanye hiyo kazi ya shamba? Acha urongo banaaaa
Mkuu Kuna Wi-Fi ? utanikatia Bima na Nguo Mpya za sikukuu ?Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika.
Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika.
Nyumba imekamilika inayofaa kuishi binadamu aliekamilika.
Chakula: Juu yangu muajiri
Mshahara: Makubaliano
View attachment 2813408View attachment 2813408
Picha hapo Juu ni nyumba iliyo Shamba.
Nimeipiga picha nikiwa shamba/kiwanja cha jirani ambae yeye tayari kwake ni kusafi. Ukiangalia hiyo picha kuna eneo halina majani hapa mwanzo, hiki ni kiwanja/shamba cha mtu mwingine yeye kashajenga shamba lake safi kiwanja kimenyooka kama Azam Complex.
Na Kijana ninae mtaka ndio nataka aondoe ile nyumba kutoka kati kati ya majani alime kote kipatikane kiwanja kisicho na majani Nyumba ikae hapo kati. Jukumu kubwa ni hilo usafi wa kiwanja muda wote jani lisiote hata 1.
NOTE: Akitokea mtu na familia yake anataka kukaa huku anakaribishwa, mshahara tutakubaliana, chakula juu yangu muajiri. Ruksa ukitaka kulima, ruksa ukitaka kufuga, ruksa kufanya chochote.
Muhitaji alie serious tu karibu inbox.
Mkuu sio porini kama unavyohisi, Huduma zote muhimu zipo, Mahali kuna maduka na Umeme kwa kutembea kwa mguu ni dk 10.Maana inaelekea kwanza si karibu na senta au miundo mbinu.
Maji yanapatikanaje? Hapo ni wazi kuchaji simu si rahisi.
Naanza kujenga Mwakani Nyumba ya mimi kuishi, Sihitaji faida na shamba nahtaji mtu atakae kaa pale kuangalia material nitakazo anza peleka.Mkuu pamoja na gharama zote hizo unazojitoa, unafaidikaje na hilo shamba??