Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

Nimeandika kutokana na uzoefu wangu shambani na hata hapa JF kuna mtu alikuwa analalamika kuhusu mwenye shamba kuchukua mazao shambani wakati hakumsaidia kulima.

Ardhi huvutia pale inaposafishwa haswa na mtu mwingine.

Ninayoyasema yapo!
 
Mkuu,japo wengi wanachukulia masihara,lakini ulikuwa umejitahidi kuweka mambo sawa. Lakini kumbuka,kwa umbali huo na nauli hizo,kutakuwa na ugumu na usumbufu. Maana inaelekea kwanza si karibu na senta au miundo mbinu.
Maji yanapatikanaje? Hapo ni wazi kuchaji simu si rahisi. Na kingine,kama ingelikuwa ni mtu kweli mwenye uwezo,panafaa kwa kilimo no ufugaji. Ila kwa mtu ambae bado anabangaiza,itakua ngumu.
Japo kama unalenga usafi wa shamba,hapa labda mtu aliyezoea kulima. Na asiwe kijana,awe mtu mwenye familia. Na kama uko vizuri,ungemtafuta mtu unaemuamini,bila kujali kutopenda kilimo,iwe kama mnashirikiana aweze kusafisha huku ana mazao.
 
Nipigie Mkuu. 0621275256. Kwa ajili ya ku-ultilize hilo eneo. Taaluma ya kilimo ninayo, ka-mtaji ninako, ujuzi wa ujasiriamali ninao.

Ukipata kijana ama ukiwa umekosa, nipigie tukawekeze hapo.[emoji1317]
 
Mkuu Kuna Wi-Fi ? utanikatia Bima na Nguo Mpya za sikukuu ?
 
Maana inaelekea kwanza si karibu na senta au miundo mbinu.
Maji yanapatikanaje? Hapo ni wazi kuchaji simu si rahisi.
Mkuu sio porini kama unavyohisi, Huduma zote muhimu zipo, Mahali kuna maduka na Umeme kwa kutembea kwa mguu ni dk 10.

Kuna zahanati mahali ilipo n dk 10 tu sina mashaka na huduma za jamiii.

Ndio mana unaona sijasema nataka mtu wa kulima nimesema nataka mtu wa kusafisha tu eneo, Kwanini?

Naanza Ujenzi Mkubwa Muda si mrefu kwahyo kile ni kiwanja ila nimepaita shamba kwasbabu n porini, angalia picha juu kuna ambayo nmepost jirani niliepakana nae uone nyumba aliyojenga. Maji kachimba kisima vha mashine kabisa ni 24hrs. (mwenyewe anapaita kwake n Bustani ya Eden)

Naamini ntapata Mtu sahihi maana sio kwamba nabeba beba tu ilimradi mtu.
 
Mkuu pamoja na gharama zote hizo unazojitoa, unafaidikaje na hilo shamba??
Naanza kujenga Mwakani Nyumba ya mimi kuishi, Sihitaji faida na shamba nahtaji mtu atakae kaa pale kuangalia material nitakazo anza peleka.

Maana akipatikana mtu naanza nunua material napeleka by december 2024 ujenzi unaanza, hivyo nina mwaka mzima wa kukusanya vifaa vinavyohtajika kwa ujenzi.

Faida nitakayopata ni Mtu atakua analinda vifaa nitakavyokua napeleka.

Sijanunua hilo eneo kwa ajili ya Kulima au kufuga bali Kuishi ndio mana huoni nikisema hata nilime au nifuge japo ntafuga ila kwa eneo hilo nahtaji kujenga nyumba ya kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…