Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

Kijana wa kusimamia mradi wa ufugaji

Achana na habari za certificate sijui nn tafuta kijana wale wako committed na mifugo mfano aliyewahi kuchunga ng’ombe. Halafu uwe na daktari wa mifugo mmoja anaeleweka. Niliwahi fuga nguruwe nikampata jamaa alikuwa mchungaji ww ng’ombe alijifunza kuchoma iron piglets, kukata meno, kuchoma ukurutu na minyoo tukamsahau dokta.
 
Na huyo kijana ni mimi sasa,mkuu karibu tuyajenge tufuge kisasa nina uzoefu kidogo na ufugaji na ng'ombe nimechunga pia
 
Hahahaha mkuu Wewe huelekei hata nukta kuwa hao vijana, I’m sorry to say hao vijana ni local men hawana mambo ya mitandao hawajui JF, fb au twitter!
IMG_1948.jpg
 
Achana na habari za certificate sijui nn tafuta kijana wale wako committed na mifugo mfano aliyewahi kuchunga ng’ombe. Halafu uwe na daktari wa mifugo mmoja anaeleweka. Niliwahi fuga nguruwe nikampata jamaa alikuwa mchungaji ww ng’ombe alijifunza kuchoma iron piglets, kukata meno, kuchoma ukurutu na minyoo tukamsahau dokta.
Nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom