Kijana wa kusimamia shamba la mifugo na kilimo yupo

Kijana wa kusimamia shamba la mifugo na kilimo yupo

nitazoea

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2017
Posts
203
Reaction score
243
Habarini wanajukwaa....

Kwa yeyote mwenye shamba la kilimo na ufugaji na anahitaji matokeo bora katika mradi wake yupo kijana ana uzoefu wa kutosha kwenye kilimo na ufugaji hasa kuku na nguruwe, pia ni mtalaamu wa tiba za mifugo hiyo.

Kiufupi kijana amenyooka katika ufugaji na kilimo na yupo tayari kufanya kazi mkoa wowote.
 
Kijana wa kazi/Shamba boy wa kwanza kuijua Jamiiforum. Hongera
 
Back
Top Bottom