Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Ebu skilizeni niwaambie kabla sijalewa.....
Mwanangu:
Usije ukadanganywa na ukakubali kwamba pesa zako ndio ishara ya upendo wa kweli.
Binti zangu skilizeni....
Mwanaume akikununulia gari, nyumba or any goods haimaanishi kwamba huo ni upendo kwako.
Yawezekana Mudi amepata pesa ya urithi na akaamua kukununulia chuma ili umpende (huo sio upendo wala mapenzi).
Hata Jeni akiwa na wewe kijana wangu, kwasababu tu eti unauwezo wa kumnunulia Brazilian hair huyo mnawe.
Upendo unaongea.... Upendo ni zaidi ya pesa guys..... Namaanisha upendo sio vitu. Upendo hutoka moyoni. Vitu, pesa na mali hukuja baadae.
Vijana wangu.....
Nipoa ukatafuta pesa, lakini usiache ama usilazimishe upendo kwasababu ya pesa, mali ama vitu vizuri.