Kijana wa leo: Kuwa na pesa ama kutokua na pesa isiwe kipimo cha mapenzi/upendo.

Kijana wa leo: Kuwa na pesa ama kutokua na pesa isiwe kipimo cha mapenzi/upendo.

Wengi hawatakuelewa ila kama kuna wachache watatolea kukuelewa nawapa hongera,
 
hakuna mapenzi ya kweli siku hizi ukitaka kuforce uneshe mapenzi ya kweli unaonekana msumbufu tena kama huna pesa ndio kabisaa ...hutoboi

inabidi tujue hii generation inataka nini twende nayo hivyo hivyo
 
Kwanza... kulazimisha mapenzi ni kuto kujitendea haki wewe mwenyewe.
Pili.... hakuna mahusiano kati ya pesa na upendo, na ukilazimisha kupendwa hapo ndipo utajikuta unapambana na hoja namba 1.
Tatu..... tambua kwamba generation inautofauti mkubwa na malezi..😊
 
Syo kila asye na pesa ni maskn rafik yng...kiufup umaskin haufai lkn hajamaansha tuwe maskn...anywei maish nkuchagua lkn yupo sahih saana au wew huko unako abudu na mafndsho ya wazaz wako yanasemaj juu ya hoja ya mtoa mada!!?
😂 Acha utapeli mzee ni heri pesa iendeshe tu moyo wangu! Nikikosa hela nitahadhirika zaidi umaskini sio mzuri nyie!
 
Sasa ushimen unaweza kuwa na point ila inabidi ujue wanawake wanaishi kwenye wakati uliopo, mapenzi ni pesa na hongo basi, mengine yanakujaga baadae, hata mwanaume masikini inabidi aelewe hilo. Ni kutwanga maji kwenye kinu kuwaelewesha watoto wa 2000 kuwa mapenzi si pesa sababu inahitaji uvumilivu mkubwa kuelewa hii kauli na uvumilivu huo wengi hawana
 
Back
Top Bottom