Kijana wa miaka 18 afungwa jela miaka 30 kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

Kijana wa miaka 18 afungwa jela miaka 30 kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile

Hii yote ni sawa lakini haina mantiki, haki wala mashiko ikiwa wanaoshiriki nao wapo nje.

Iwe ni sharti la kwanza kumtaja basha kila pale shoga anaeingiliwa anakamatwa.

Kuhukumu wanaofanywa tu na kuacha wanao wafanya ni sawa na kujitibu gono bila kumtibu mwenzi wako na kuendelea kulala nae bila kinga.
Basha unampimaje (kudhibitisha)?
 
Utakuta kajiuza kufirwa kutokana na kukosa ajira na maisha kufanywa kuwa magumu kwasababu viongozi wake kuiba matrilioni ambayo yamethibitishwa na CAG .

Kijana anafungwa ili aende kufirwa bure Magereza kwa miaka 30 huku wale wezi wanaambiwa watupishe na mabulungutu yetu ya tozo wamesunda na kualikwa futari.
Hasira zako za ripoti ya CAG na ajira ndo zimefanya umeanza kushughulikiwa..
 
Hivi wanakua wanaruhusu vipi? Wanavua nguo na kujibinua anayetaka kuingiza aingize ama inakuaje? Na hao walioruhusiwa kuingiza sheria haina neno nao?
Ni kwamba wewe ni mtoto au?
 
Wafungwe tu kunusuru kizazi kilichopo
Tunawahukumu sana hawa mashoga,

Kwanini mabasha wako huru?
Hawa mabasha ndio tunasikia wanawalawiti watoto,
Wana nafasi kubwa sana kuwafanya watoto wa leo kuwa mashoga kesho.
Hawa ni wakuchukuliwa hatua kali sana.

Kumpeleka shoga jela si adhabu..
Wanaenda kuwa wake za watu huko.
 
Back
Top Bottom