G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Huyu ndiye kijana ambaye wakati alipokuwa hahitaji mke alimvunja mguu kaka wa dada. Sasa anamhitaji dada ameamua kujipendekeza kwa kaka eti nipe mke ninakupenda nitakuajiri kwenye kampuni zangu.
Huyu ndiye kijana ambaye alipokuwa hana haja ya kuoa aliibeza familia ya dada, akawachenjia mama zake, akawa anajali ukoo wake tuu sasa anamhitaji dada kaja na maneno matamu matamu.
Huyu ndiye kijana ambaye kabla ya kuoa alikuwa mbabe mbabe haambiliki mkono chuma hacheki. Sasa anahitaji mke anajitia mtana shati, mcheshi mpole mnyenyekevu na mwenye mahaba.
Lakini sitomshangaa huyu kijana kwani, japo sasa anahitaji mke bado ataharibu tu kwenye process ya utongozaji! Tujipe muda maana moto wa petrol haufunikwi kwa blanket!