Kijana wa mjini anayewatongoza watanzania ni "joni"

Kijana wa mjini anayewatongoza watanzania ni "joni"

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Huyu ndiye kijana ambaye wakati alipokuwa hahitaji mke alimvunja mguu kaka wa dada. Sasa anamhitaji dada ameamua kujipendekeza kwa kaka eti nipe mke ninakupenda nitakuajiri kwenye kampuni zangu.

Huyu ndiye kijana ambaye alipokuwa hana haja ya kuoa aliibeza familia ya dada, akawachenjia mama zake, akawa anajali ukoo wake tuu sasa anamhitaji dada kaja na maneno matamu matamu.

Huyu ndiye kijana ambaye kabla ya kuoa alikuwa mbabe mbabe haambiliki mkono chuma hacheki. Sasa anahitaji mke anajitia mtana shati, mcheshi mpole mnyenyekevu na mwenye mahaba.

Lakini sitomshangaa huyu kijana kwani, japo sasa anahitaji mke bado ataharibu tu kwenye process ya utongozaji! Tujipe muda maana moto wa petrol haufunikwi kwa blanket!
 
IMG_20200501_071909.jpg
 
Mi nadhani Muasisi wa hili taifa alikosea sana!!Inakuaje Jeshi na Usalama wanamlinda mvunjaji wa katiba kama huyu jiwe????Inakuwaje?..!!ina maana hatupo salama!!!
 
Huyo binti keshazalishwa watoto watatu na Joni kwa kipindi cha kama miaka mitano iliyopita.
Joni aozeshwe tu huyo binti walee watoto na mkewe.
Kipigo cha kaka wa binti kilimuhusu kwakuwa alitaka kuchoma moto nyumba anayomiliki Joni.
 
Una umahiri mkubwa wa kutumia lugha za kike za mipasho kufikisha ujumbe kwenye jamii.. Ungekuwa mtt wa kike, sidhani hata kama ungemaliza darasa la pili bila kutiwa mimba!
Siasa zisiwatoe katika utu wenu kumbuka kuna maisha baada ya siasa tupendane tujenge Tanzania ni yetu sote.
 
Joni huyuhuyu alimpa nyumba yule binti aliyekuwa anasoma mlimani anakaa pale nyumba za karibu ya SISIMIZI BAR
 
Back
Top Bottom