🚮🚮wakuu
=====
Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
Unaweza ukashangaa akatafutiwa cheo cha Raisi wa vijana wa CCM chini ya miaka 15 Taifa na akaingizwa kwenye payroll na posho za vikao vyaowakuu
=====
Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
Huu upuuzi nao ni habari?wakuu
=====
Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
Yeye na baba yake wanatakiwa kuwa jelaMtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
wewe ni mchawi kabxa.Hivi hilo litoto huwa linajisomea muda gani?
Mbona una hasira kali kwa innocent child ?Hivi hilo litoto huwa linajisomea muda gani?
wakuu
=====
Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
Hata wewe ndugu yangu!!
Kwa nini wanamuingiza kwenye siasa? Wanamuharibia.You people! Huyo ni mtoto. Kwanini mnambully?
Kwangu mimi ameonesha confidence na public speaking skills nzuri. Anaandaliwa vyema.
Yeye hata asipofanya NECTA haina shida, analetewa cheti tu na v8 mlangoniHivi hilo litoto huwa linajisomea muda gani?