Kijana wa waziri wa Fedha anafaa kwenye wizara gani?

Kijana wa waziri wa Fedha anafaa kwenye wizara gani?

"if not me ,then my son must step in that state house. " may be this is mwigulu thought
 
wakuu

=====

Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
MaCCM ni mashetani.
Acheni watoto waishi utoto wao.
Kwa nini mnawaingiza watoto kwenye ushetani wenu!!??
 
Unaweza ukashangaa akatafutiwa cheo cha Raisi wa vijana wa CCM chini ya miaka 15 Taifa na akaingizwa kwenye payroll na posho za vikao vyao
IMG_0650.jpeg
 
You people! Huyo ni mtoto. Kwanini mnambully?

Kwangu mimi ameonesha confidence na public speaking skills nzuri. Anaandaliwa vyema.
Dadangu binti kiziwi , huyo mzazi aliyempandisha hapo ndiye aliyeruhusu bullying kwa mtoto.

Kuandaliwa vyema kwenye public speaking kunapatikana mashuleni,kama morning assembly, kwenye debate kati ya shule na shule, na sio kwenye majukwaa ya siasa.
 
You people! Huyo ni mtoto. Kwanini mnambully?

Kwangu mimi ameonesha confidence na public speaking skills nzuri. Anaandaliwa vyema.
Anaandaliwa vema sehemu pasipo sahihi. Au Sheria zinaruhusu under 18 kujishughulisha na siasa?
 
Mimi kuna muda naonaga watu nao wamezidi sijui ushamba. Sasa kweli watu wazima mnaacha shughuli zenu, hata kama huna shughuli si bora ukalale au ukalombane huko. Unasimamisha milonjo yako kumsikiliza huyo mtoto.

Hapo wenzao wanajiona kama Wafalme na mipesa waliyochota na hao kama vijakazi vyao, huu ujinga kamwe sijawahi fanya na haitatokea kamwe. Watu wengine akili zao wanazijua wenyewe 🙌🙌🙌🙌🙌
 
Ndivyo watu wanavyoandaa watoto wao, hiyo ndiyo unofficial style yetu. Tofauti na wenzetu kama US jinsi kina Baron Trump wanavyoandaliwa.
 
Back
Top Bottom