Kijana wa waziri wa Fedha anafaa kwenye wizara gani?

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
wakuu

=====

Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
Your browser is not able to display this video.
 
wakuu

=====

Mtoto wa waziri wa fedha akitoa salamu kwa wananchi mbele ya baba yake mzazi Mwigulu Nchemba kijana anavaa Kama baba bendera ya nchi iko shingoni wazungu wanasema like Son like Dad.
Unaweza ukashangaa akatafutiwa cheo cha Raisi wa vijana wa CCM chini ya miaka 15 Taifa na akaingizwa kwenye payroll na posho za vikao vyao
 
Kama unatokea familia za chini na unandoto ya kuwa mwanasiasa unaona wanavyotengenezewa njia wenzako?
 
Lucas Mwashambwa akimuona mtoto wa mwigulu anabubujikwa na machozi ya furaha wakati watoto wake wanasoma kwenye shule isiyo na madawati.
Lakini sishangai maana hata yule mfalme zumarini wa Mwanza ana wafuasi.
Ushauri wangu kwa Lucas ni "read a book"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…