SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
My dad & mum hao nawaita a.k.a kina junior
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumesha ongea nae sana, tukiwa na baba yake haikusaidia
Unalifuga li le mutuz nyumbani kwako.Nikiwa kama mzazi, nililea watoto kwa msaada wa dada huku nikiwa na majukumu mengine. Mtoto wangu wa kiume alipenda gadgets na kila siku yake ya kuzaliwa alichagua game au play station mpya. Kwakua alikuwa na bodi shuleni niliona hii ni kama asante yake ya kuitendea vyema ada tunayolipa na Baba yake.
Sasa yuko chuo anaingia mwaka wa pili. Chuo chao kilifungwa tangu March mwaka huu kwaajili ya corona lakini walipata online lectures na walituma kazi zao huko huko online.
Tangu aache kwenda chuo amekuwa ni mtu wa kujifungia chumbani kwake tu. Nilitumia nafasi hii kumlipia mafunzo ya udereva. Hii ilimhamasisha alikuwa na hamu ya kujua kuendesha gari. Tangu apate leseni amerudia tabia zake za zamani.
Mtoto anakesha kwenye michezo mpaka asubuhi. Huyu atakua raia wa aina gani? Ana miezi miwili ya kukaa nyumbani mpaka September atakapo rudi chuoni. Siku nifanye nini kukomesha hii tabia?