Kijana wangu anakesha kwenye games analala alfajiri

Nikiwa kama mzazi, nililea watoto kwa msaada wa dada huku nikiwa na majukumu mengine. Mtoto wangu wa kiume alipenda gadgets na kila siku yake ya kuzaliwa alichagua game au play station mpya. Kwakua alikuwa na bodi shuleni niliona hii ni kama asante yake ya kuitendea vyema ada tunayolipa na Baba yake.

Sasa yuko chuo anaingia mwaka wa pili. Chuo chao kilifungwa tangu March mwaka huu kwaajili ya corona lakini walipata online lectures na walituma kazi zao huko huko online.

Tangu aache kwenda chuo amekuwa ni mtu wa kujifungia chumbani kwake tu. Nilitumia nafasi hii kumlipia mafunzo ya udereva. Hii ilimhamasisha alikuwa na hamu ya kujua kuendesha gari. Tangu apate leseni amerudia tabia zake za zamani.

Mtoto anakesha kwenye michezo mpaka asubuhi. Huyu atakua raia wa aina gani? Ana miezi miwili ya kukaa nyumbani mpaka September atakapo rudi chuoni. Siku nifanye nini kukomesha hii tabia?
Mkuu una mtoto? Kweli miaka inakimbia sana, hongera
 
game ni addict imewapunguzia ufanisi watu wengi kwenye shuguri zao kwa sababu hawapati muda mwingi wa kupumzika jitahidi kumweleza madhara yake atafute kitu kingine cha kumweka busy
 
Hahaha mimi hata katuni siwezi kuangalia na sijui hata game moja nadhani niko too much!😀
😄😄Kumbe umeelewa..sasabnawaza makamu wa Rais anacheza games...mie Niko too much kukuzidi!..ni antisocial Sana aisee mie
 
Juzi tu mmekutana na Asprin huku, tayari mna mtoto wa mwaka wa pili chuo

Okey, hata mimi nilikua na uraibu wa games asee, toka nimeacha pesa ya boom sikumbuki kama nimeshawahi cheza zaidi ya saa3
 
Nikiwa kama mzazi, nililea watoto kwa msaada wa dada huku nikiwa na majukumu mengine. Mtoto wangu wa kiume alipenda gadgets na kila siku yake ya kuzaliwa alichagua game au play station mpya. Kwakua alikuwa na bodi shuleni niliona hii ni kama asante yake ya kuitendea vyema ada tunayolipa na Baba yake.

Sasa yuko chuo anaingia mwaka wa pili. Chuo chao kilifungwa tangu March mwaka huu kwaajili ya corona lakini walipata online lectures na walituma kazi zao huko huko online.

Tangu aache kwenda chuo amekuwa ni mtu wa kujifungia chumbani kwake tu. Nilitumia nafasi hii kumlipia mafunzo ya udereva. Hii ilimhamasisha alikuwa na hamu ya kujua kuendesha gari. Tangu apate leseni amerudia tabia zake za zamani.

Mtoto anakesha kwenye michezo mpaka asubuhi. Huyu atakua raia wa aina gani? Ana miezi miwili ya kukaa nyumbani mpaka September atakapo rudi chuoni. Siku nifanye nini kukomesha hii tabia?

Duh tunatofautiana akili Nikiwa mwaka wa pili nilikuwa tayari nimeingia kwenye biashara kuku 800 wa nyama hela inakata kuku hawana chakula mitiani hii, unafikiri mpaka kichwa inataka kupasuka.

Likizo ikifika nashangilia maana kazi zangu nazifanya vizuri duh! Yani Game kabisaa asee

Umemlelea kimayai sana huyoo mtoto.
 
Nikiwa kama mzazi, nililea watoto kwa msaada wa dada huku nikiwa na majukumu mengine. Mtoto wangu wa kiume alipenda gadgets na kila siku yake ya kuzaliwa alichagua game au play station mpya. Kwakua alikuwa na bodi shuleni niliona hii ni kama asante yake ya kuitendea vyema ada tunayolipa na Baba yake.

Sasa yuko chuo anaingia mwaka wa pili. Chuo chao kilifungwa tangu March mwaka huu kwaajili ya corona lakini walipata online lectures na walituma kazi zao huko huko online.

Tangu aache kwenda chuo amekuwa ni mtu wa kujifungia chumbani kwake tu. Nilitumia nafasi hii kumlipia mafunzo ya udereva. Hii ilimhamasisha alikuwa na hamu ya kujua kuendesha gari. Tangu apate leseni amerudia tabia zake za zamani.

Mtoto anakesha kwenye michezo mpaka asubuhi. Huyu atakua raia wa aina gani? Ana miezi miwili ya kukaa nyumbani mpaka September atakapo rudi chuoni. Siku nifanye nini kukomesha hii tabia?
Asije kuwa Kama mwenyekiti wenu itakuwa hatari.
 
Mtafutie mke , tafrani ya mwanamke atatoka tu huko ndani ,si unajua matimbwili ya hawa wanawake kila uchao.!
 
Binafsi I wouldn't mind.

Dunia imechafuka Sana Sis. You can't even let your kid have friends without popping in to see what games they are playing.

I would be glad he is indoors doing something so harmless rather than be roaming the streets smoking weed or God knows what.

Let him be. If he is obedient and well behaved, let him be. Just give him chores and have him learn other new stuff.

Mkuu mwache mtoto wako apulize weed kidogo akipitwa na hii kitu atakuwa lofa.

Trust me, weed haiko na shida jamii ndiyo inashida.
 
Sasa kama mamaake unakesha jf kuendekeza siasa na kuwatetea kina Mbowe unategemea uwape watoto wako malezi bora kweli?

Na uhakika hapo ulipo wewe ni single maza, maana hakuna mwanaume atakubali kukaa na mwanamke anaekesha kuwatetea kina humu jf!
Duh guy umeenda mbali sana, 😎😎
 
Sali sana na shukuru Mungu. Soma kitabu kinaitwa deep work kitakusaidia. Hizi addiction ni mbaya sana. Movies, porn, games, kamari, betting, mpira na kila siku watu wanabuni vitu hatari zaidi. Wamekupa ushauri mzuri sana, chambua fanyia kazi.
 
Back
Top Bottom