Kijana wangu anakesha kwenye games analala alfajiri

Kijana wangu anakesha kwenye games analala alfajiri

Yaani mimi game ndio kilevi changu, mpaka nimenunua PS4 nyumbani. (Kuna kitu kinaitwa DLS)
 
Ila mdogo wangu mnyalu una stress Sana! Mie nikupe pole tu!..na kweli life la sky na lako ni mbingu na ardhi
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa dada maisha sawa yako tofauti ila kaniudhi sana kutuomba ushauri juu ya mtoto wake wa mwaka wa pili chuo!

Yani inaonekana kamlea kimayai sana,!
 
Hayo magame choma moto
Au kamaku tatizo jingine tafuta mshauri wa saikologia azungumze nae
Jitahid asichangamane na makundi ya vijana wenziwe wengi ni mahayawani
 
Anasoma chuo kipi kijana wako?

Kama sikosei vijana wako chuo wiki ya pili kama sio ya tatu sasa ,wenzao wa sekondari na msingi wapo njiani kurudi masomoni.
Bila shaka huyu kijana atakua anasoma abroad kulingana na hapo aliposema anarejea september na ilikua anasoma online, vyuo vingi vya nje huwa ndio miezi yao ya kuanza masomo.
 
Kama nimemwelewa vizuri Bi. Sky E, ni kwamba anamshangaa dogo kukeshea ‘games’ badala ya michezo halisi.... kwa umri huo kama mzazi ni lazima ikupe mashaka.

Nakuelewa mzee mwenzangu!
 
[emoji3][emoji3][emoji3]Sasa dada maisha sawa yako tofauti ila kaniudhi sana kutuomba ushauri juu ya mtoto wake wa mwaka wa pili chuo!

Yani inaonekana kamlea kimayai sana,!
Umenichekesha Sana yaani! Kila mtu maleZ yak
 
Nikiwa kama mzazi, nililea watoto kwa msaada wa dada huku nikiwa na majukumu mengine. Mtoto wangu wa kiume alipenda gadgets na kila siku yake ya kuzaliwa alichagua game au play station mpya. Kwakua alikuwa na bodi shuleni niliona hii ni kama asante yake ya kuitendea vyema ada tunayolipa na Baba yake.

Sasa yuko chuo anaingia mwaka wa pili. Chuo chao kilifungwa tangu March mwaka huu kwaajili ya corona lakini walipata online lectures na walituma kazi zao huko huko online.

Tangu aache kwenda chuo amekuwa ni mtu wa kujifungia chumbani kwake tu. Nilitumia nafasi hii kumlipia mafunzo ya udereva. Hii ilimhamasisha alikuwa na hamu ya kujua kuendesha gari. Tangu apate leseni amerudia tabia zake za zamani.

Mtoto anakesha kwenye michezo mpaka asubuhi. Huyu atakua raia wa aina gani? Ana miezi miwili ya kukaa nyumbani mpaka September atakapo rudi chuoni. Siku nifanye nini kukomesha hii tabia?
Too much of anything is harmful, excessive gaming inaashiria kijana amekuwa addicted, kuna hatua huwa wanafikia inabidi apate msaada wa kitaalam ili aweze kuishinda hiyo addiction, tafuta professional counselors watamsaidia
 
Bosi wangu anapenda sana kucheza gemu la karata ofisini. Lile la kumvua nguo dada wa kizungu, sijui kama vijana wanalijua.

Unacheza..ukipata anavua blauzi, unacheza tena ukipata anavua sidiria...hadi mwisho anavua zote. Huyu bosi anakaribia kustaafu.

Ushauri: muache mtoto awe busy na game kuliko kwenda kunywa pombe na kuishia kuwa malaya wa kula tund kimasihara.
Mama atakuwa anahisi labda mwanae hapigi shoo maana kila akienda akirudi mwanae yuko ndani na game tu hata ku chat chat hamuoni. Huo ndio wasiwasi wa mleta mada nadhani.[emoji38][emoji38]
 
Sister kama hajaingia kwenye betting mwache tu acheze hiyo PLAY STATION kwa raha zake. Watoto siku hizi wanatabia za ajabu hadi shetani anakasirika. Watoto siku hizi wananunua pisi kali kwa 10K tu alafu wanakula hadi kwa Mpalange bila kujikinga. Shida sister ww kwako huna vikazi vya kumchosha mtoto. Mchoshe mtoto, lima mipapai heka mpe kazi asimamie, weka kuku nyumbani alafu yeye ndio msimamizi, kiufupi mwanao mtreat kama house boy vile ajikute hadi inafika saa nne usiku haitamani hiy game. Mama yangu namkubali sana, hadi leo namaisha yangu ila nikienda home lazma nilime tuta zakutosha za mboga mboga alafu cha ajabu hela anachukua yeye akiuza.
 
Back
Top Bottom