Mr pianoman
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 2,595
- 6,264
Dada acha kumdekeza huyo mwanao ipo siku utakuja kunishukuru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sinmtoto wa mama mkuu? Ukikosa Ada ya dogo unalia kwa sister...
[emoji16][emoji16][emoji16] Junior ntakusemea kwa daddy[emoji3][emoji3][emoji3]Junia bhana
Mama yangu namkubali sana, hadi leo namaisha yangu ila nikienda home lazma nilime tuta zakutosha za mboga mboga alafu cha ajabu hela anachukua yeye akiuza.
Mama mtu mzima unapata wap mud wa kucheza games!..mie naangalia katuni na wanangu kwa shida Sana yaani!
Ha ha ha kweli mkuuMama atakuwa anahisi labda mwanae hapigi shoo maana kila akienda akirudi mwanae yuko ndani na game tu hata ku chat chat hamuoni. Huo ndio wasiwasi wa mleta mada nadhani.[emoji38][emoji38]
Haya cdm, njooni huku dada yenu anaomba ushauri 😁😁😁😁Japo huwa una vielement vya UCHADEMA na mimi siyo Mwana CCM sisi ni ndugu
Nikiwa kama mzazi, nililea watoto kwa msaada wa dada huku nikiwa na majukumu mengine. Mtoto wangu wa kiume alipenda gadgets na kila siku yake ya kuzaliwa alichagua game au play station mpya. Kwakua alikuwa na bodi shuleni niliona hii ni kama asante yake ya kuitendea vyema ada tunayolipa na Baba yake.
Sasa yuko chuo anaingia mwaka wa pili. Chuo chao kilifungwa tangu March mwaka huu kwaajili ya corona lakini walipata online lectures na walituma kazi zao huko huko online.
Tangu aache kwenda chuo amekuwa ni mtu wa kujifungia chumbani kwake tu. Nilitumia nafasi hii kumlipia mafunzo ya udereva. Hii ilimhamasisha alikuwa na hamu ya kujua kuendesha gari. Tangu apate leseni amerudia tabia zake za zamani.
Mtoto anakesha kwenye michezo mpaka asubuhi. Huyu atakua raia wa aina gani? Ana miezi miwili ya kukaa nyumbani mpaka September atakapo rudi chuoni. Siku nifanye nini kukomesha hii tabia?
Huyo hana kazi za kumuweka busy, games ndio kazi pekee anajua. Kama una shughuli za kufanya hapo nyumbani kama kazi za nje ya myumba mpeni. Msiweke mfanyakazi. Kama mna biashara au any economic activity ya familia muwekeni hapo.Nikiwa kama mzazi, nililea watoto kwa msaada wa dada huku nikiwa na majukumu mengine. Mtoto wangu wa kiume alipenda gadgets na kila siku yake ya kuzaliwa alichagua game au play station mpya. Kwakua alikuwa na bodi shuleni niliona hii ni kama asante yake ya kuitendea vyema ada tunayolipa na Baba yake.
Sasa yuko chuo anaingia mwaka wa pili. Chuo chao kilifungwa tangu March mwaka huu kwaajili ya corona lakini walipata online lectures na walituma kazi zao huko huko online.
Tangu aache kwenda chuo amekuwa ni mtu wa kujifungia chumbani kwake tu. Nilitumia nafasi hii kumlipia mafunzo ya udereva. Hii ilimhamasisha alikuwa na hamu ya kujua kuendesha gari. Tangu apate leseni amerudia tabia zake za zamani.
Mtoto anakesha kwenye michezo mpaka asubuhi. Huyu atakua raia wa aina gani? Ana miezi miwili ya kukaa nyumbani mpaka September atakapo rudi chuoni. Siku nifanye nini kukomesha hii tabia?
nothing wron with that ilimradi tuu awe anatimiza majukumu yake nilikuwa mwaka wa pili nilikuwa nacheza ame sana mpaka saa kumi na moja but i graduated with 4.1 gpa average na sasa nina mishe zangu kibao na game kama kawaida nikpata muda nacheza hasa sasa hivi na install call of duty advvenced warfare kesho ijumaa usiku ndio kazi hiyo baada ya kutoka kaziniNikiwa kama mzazi, nililea watoto kwa msaada wa dada huku nikiwa na majukumu mengine. Mtoto wangu wa kiume alipenda gadgets na kila siku yake ya kuzaliwa alichagua game au play station mpya. Kwakua alikuwa na bodi shuleni niliona hii ni kama asante yake ya kuitendea vyema ada tunayolipa na Baba yake.
Sasa yuko chuo anaingia mwaka wa pili. Chuo chao kilifungwa tangu March mwaka huu kwaajili ya corona lakini walipata online lectures na walituma kazi zao huko huko online.
Tangu aache kwenda chuo amekuwa ni mtu wa kujifungia chumbani kwake tu. Nilitumia nafasi hii kumlipia mafunzo ya udereva. Hii ilimhamasisha alikuwa na hamu ya kujua kuendesha gari. Tangu apate leseni amerudia tabia zake za zamani.
Mtoto anakesha kwenye michezo mpaka asubuhi. Huyu atakua raia wa aina gani? Ana miezi miwili ya kukaa nyumbani mpaka September atakapo rudi chuoni. Siku nifanye nini kukomesha hii tabia?
Mimi ningehitaji ufafanuzi kidogo kabla ya kuchangiaNikiwa kama mzazi, nililea watoto kwa msaada wa dada huku nikiwa na majukumu mengine. Mtoto wangu wa kiume alipenda gadgets na kila siku yake ya kuzaliwa alichagua game au play station mpya. Kwakua alikuwa na bodi shuleni niliona hii ni kama asante yake ya kuitendea vyema ada tunayolipa na Baba yake.