Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
mviunje mabega kabla hajakomaa atakua kajiunga na mambo ya chadema anajazwa ujinga na akina heche
Tena kama ya FFU!Piga mitama huyo
Mtafutie mshauri wa masuala ya afya ya akili akae nae, ataongea nae kwa uhuru sana nae mtaalamu atampatia ushauri nawe pia atakupa ushauri wa kufanya.Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Ukiwa mtoto wa kwanza na wapili kawaida kula bakora, hii hutokana na mzee hataki ufanye makosa kama yake.Kweli watu tupo tofauti, mzee wangu kaacha kunitandika bakora nilipomaliza form 4 baada ya hapo nikawa away from home kama spider man Nikaja kukaa nae tena nimemaliza chuo mzee akawa ananiweka makofi. Ah kulaleki nikasepa nyumbani kwake, maana niliona nitapata laana bure. Kwa mzee waliodeka ni watoto wa mwisho wamemkuta umri umeenda, mi wa kwanza.
Sasa kijana kusemwa tuu anasusa haongei siku 3, mi mzee alikuwa ananibonda alafu anakwambia kaoge tukale kitimoto, au akitoka anakuletea zawadi sasa Ukijidai bado umenuna unabondwa tena huku unaulizwa kwahiyo nimekuonea😅Ukiwa mtoto wa kwanza na wapili kawaida kula bakora, hii hutokana na mzee hataki ufanye makosa kama yake.
Anataka uwe bora zaidi yake ila wazee wetu hawaamini kwenye kuongea na mtoto wao wanaamini bakora ndio itakunyoosha tu.
Lakini huo ndio upendo wake juu yako ila sisi watoto tunaona mzee alikuwa jau na kuanza kumtenga sababu alituchapa lakini tunasahau alivyo hangaika mpaka tulipo fikia sasa. Bila ya bakora za wazee pengine tungekuwa na marafiki vibaka na wakora nasisi sasa tungekuwa wizi au majambazi au wasukuma mikokoteni bila ya ukali wao.
Huyo ni wakuzaba makofi na kumtimua nyumbani aende akaisusie dunia hukoKijana wangu, ana miaka 20
Mkuu hizo enzi ilikuwa na watoto kutwa wapo nje na kucheza na vijana wenzao hizi enzi kutwa mtoto yupo mtandaoni.Sasa kijana kusemwa tuu anasusa haongei siku 3, mi mzee alikuwa ananibonda alafu anakwambia kaoge tukale kitimoto, au akitoka anakuletea zawadi sasa Ukijidai bado umenuna unabondwa tena huku unaulizwa kwahiyo nimekuonea😅
Mkuu nahisi hakuna kizaz kilichoenjoy maisha kama cha watu wa 93 mpaka 98 hapoMkuu hizo enzi ilikuwa na watoto kutwa wapo nje na kucheza na vijana wenzao hizi enzi kutwa mtoto yupo mtandaoni.
Hata mke alikuwa anakwenda Shambani na kuleta vyakula mkala familia nzima. Leo hii mke anakwenda kazini haleti lolote na anataka dada wa kazi umletee ndie akupikie 😂🤣.
Huyo mwanao kazaliwa January kati mpaka February kati?.
jen z fada hawezi anasema haki kwa watotoPiga mitama huyo
Madhara ya kusomesha watoto boarding ayo amekosa social skills,na emotional skills usipokuwa makini ndio hao uwa wanajiua au kuua watu maana hawawezi kuchangamana na watu na kuelewana wala kudhibiti hisia/mihemko iyo shida.Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.
Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.
Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.
Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
ajamuelezea vizuri mtoto wake yaani alitakiwa kufunguka tangu akiwa mdogo ,aliposoma hadi chuo navyohisi uyo dogo ndo wale wanaopelekwa boarding watoto hawajawi kusoma day school na kama sio ivyo ni wale wa yes/no english medium au international schoolInaonekana hapo kwako hata kazi za kufanya hakuna. Wazazi wengine mnafeli sana kuendekeza uzungu.
LIKUDajamuelezea vizuri mtoto wake yaani alitakiwa kufunguka tangu akiwa mdogo ,aliposoma hadi chuo navyohisi uyo dogo ndo wale wanaopelekwa boarding watoto hawajawi kusoma day school na kama sio ivyo ni wale wa yes/no english medium au international school