Kijana wangu hataki kuonywa akikosea, ananuna haongei na mtu hata siku 3

Kijana wangu hataki kuonywa akikosea, ananuna haongei na mtu hata siku 3

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
kuna mzaz mwenzie tukatokea kupatana. Baada ya kuachana na bro aliniambia mengi.

Jamaa akikasirika haongei na watoto wiki nzima. Akirud ni chumban kwake. Hataki kusikia kelele za watoto wake, TV kuna muda anaifungia chumban watoto wasiangalie.

Kiufupi jamaa anajua kususa na kununa.

Na wala sip malezi. (Mbona mm siko hivyo wakat tumelelewa nyumba moja)
Ni tabia na ndio jinsi alivyo..

Kuna kipind report za Shule msingi. Mm nikapata namba nzuri. Jamaa kafeli. Basi bi mkubwa akasema mwanangu ni mm yeye sio mwanae. Kwann anafeli. (Kiutani tu).

Kumbe jamaa kalishika. Mwaka mzima akiwa anaitwa aambie fanya hivi na hivi. Anasema mwambie mwanao mm sio mwanao. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Baada ya wazaz kumjua. Ndio wakajua namna gan ya kuishi nae..
Ila jamaa anajua kususa. Dah
 
Mtafutie demu haraka sana
1791536300902.jpg
 
Mlete hapa kwangu niongee naye masaa mawili tu mimi na yeye

Nakuhakikishia hautajutia
 
Nyeto hiyo mkuu, hata mimi nipo hivyo na nitaendelea kuwa hivyo kwa wivu mkubwa
 
Pole sana mkuu kwa mtihani unaokupata, binafsi natamani kuwa baba mzuri kwa wanangu,lakini nakuona hata wewe ni baba mzuri kwa mwanao,mnachokwepana hapo ni mitazamamo ya kifikira.

Huyo kwa sasa ni mtu mzima, japo wewe ni mzazi ila yakupasa kupunguza mivutano na huyo kijana wako kwani naye hapo alipo anajichukulia kama mtu mzima,sasa kumfokea katika njia isiyo ya staha lazima umkwaze.


Mimi ni mwalimu,Kuna muda Huwa tuna pata vijana Wenye umri zaidi ya huyo mtoto wako, licha ya wao kuwa wanafunzi ila Huwa tunatumia busara sana kuwarudi wabapokosea, tofauti na hapo mnaweza twangana makonde.


Pole kwa tunayopitia mkuu
 
Siku moja aje awe Mume wa mtu, hili ni janga. Mshaurini akikua asioe ๐Ÿคฃ

Jokes aside, Hasira ni second emotion, Kuna emotion ya kwanza inayomsumbua (Shame, fear, disappointment, failure, hurt, sad, neglect, anxious etc) Tafuta rafiki yake aongee nae.
 
kuna mzaz mwenzie tukatokea kupatana. Baada ya kuachana na bro aliniambia mengi.

Jamaa akikasirika haongei na watoto wiki nzima. Akirud ni chumban kwake. Hataki kusikia kelele za watoto wake, TV kuna muda anaifungia chumban watoto wasiangalie.

Kiufupi jamaa anajua kususa na kununa.

Na wala sip malezi. (Mbona mm siko hivyo wakat tumelelewa nyumba moja)
Ni tabia na ndio jinsi alivyo..

Kuna kipind report za Shule msingi. Mm nikapata namba nzuri. Jamaa kafeli. Basi bi mkubwa akasema mwanangu ni mm yeye sio mwanae. Kwann anafeli. (Kiutani tu).

Kumbe jamaa kalishika. Mwaka mzima akiwa anaitwa aambie fanya hivi na hivi. Anasema mwambie mwanao mm sio mwanao. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Baada ya wazaz kumjua. Ndio wakajua namna gan ya kuishi nae..
Ila jamaa anajua kususa. Dah
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kama mkuu wa kaya mtembeze kijana sehemu ambazo wazungu huja kutoa misaada,mtembeze sehemu ambazo si za kawaida kuzoeleka zoeleka..then hakikisha pahala kama hospital kuwe kwa mwisho.

Nenda kwa rafiki zako wenye unahisi wanaishi kama wewe na watoto zao then leta mrejesho
 
Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.

Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.

Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.

Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Bado utineja haujamuisha.Mpe muda na kumvumilia atabadilika tu.
 
Back
Top Bottom