Kijana wangu hataki kuonywa akikosea, ananuna haongei na mtu hata siku 3

Hizo ni tabia za kina junior waliosomeshwa english medium na kulelewa kimayai mayai nyumbani
 
Kwani kusalimia lazima? Au kuwa na engagement na staff wenzio? Anaepusha mengi, kwanza yuko sahihi mazoea ya kiwaki kazini ya nini?
Muhimu anafanya kazi yake vizuri na kwa weledi basi, hayo mengine hayawahusu, punguzeni kufatilia ya watu. Woiiiih
Phew, relax Coca!
Hakuna anayetaka wala anayefuatilia maisha ya mtu, kuna social interaction kazini, kuna work interactions, unadhani naongelea social interaction?

Kama mood swings zako zinaathiri kazi unadhani ni sawa, kama huwezi ku'interact na watu ili kazi za watu ziende unadhani ni sawa?

Hakuna anayetaka maisha ya mtu binafsi, kila mtu yupo kazini kwa maslahi yake, lakini maslahi ya ofisi kwanza, mambo ya socials kila mtu ana mpango wake.

Ungeuliza kwanza kabla ya kuhitimisha.
 
Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.

Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.

Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.

Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Wazazi wa kipind hiki tunadekeza watoto, sis tulinyooshwa barabara, wanangu pia nilipoona wananiletea za kuleta nikaanza kuwa mkali.

Sisem kuwa mtoto hana haki, but ajue chini ya paa la wazazi kuna tabia hazivumiliki
 
Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.

Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.

Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.

Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Anamiaka mingap nataka kukupa ufumbuzi wa kudumu kwako na wengine humu
 
Kwani kusalimia lazima? Au kuwa na engagement na staff wenzio? Anaepusha mengi, kwanza yuko sahihi mazoea ya kiwaki kazini ya nini?
Muhimu anafanya kazi yake vizuri na kwa weledi basi, hayo mengine hayawahusu, punguzeni kufatilia ya watu. Woiiiih
Mahusiano bora na wenzake kazini ni muhimu kiutumishi, maana Kazi na maelekezo yanatumwa kupitia Eoffice, Gms, na platforms zingine, zingine zinahitaji files na attachments zingine wewe huna wanazo wengine...Muwe na ofisi binafsi ili muwe huru na tabia zenu pendwa.
 
Labda kila akitongiza anakataliwa na ashiki imenipanda na hana pa kupunguzia.

Ndiyo maana kwa umri wa kuanzia kubalehe kijana anatakiwa awe masta wa nyeto ili alikataliwa na demu apate pa kumwaga manii yake yanayotengenezwa la wingi.

Hili nililolisema mnaqeza mkalichukulia kumiuwepeso, lakini Lina ukweli.

Mbaga Jr.
 
Ni tabia za kurithi.
Kaka yangu kabisa wa Damu yuko hivyo. Akiwa na 8 yrs alisusa na hakutaka kuongea na mtu kwa siku 3. Hadi chakula cha usiku ile kujumuika pamoja alikataa.

Sasa ni mtu mzima. Aisee. tunajuta kuwa wadogo zake.
Ashaachana na wanawake 3. Mmoja wa ndoa kanisani. Wawili amezaa na kukaa nao kama mke..Na hapo bado Hajafika 40 yrs.

tena Huyo jamaa akipata hela na kuwa na familia yake atawasumbua sana.
Hana utu na atawatesa sana wanawake.

Ni mtu anayejiona kuwa yeye yuko sahihi. Na hatakiwi mtu mwingine kumkosea.

Kupatana nae ni kumfanya yeye ajione yuko sawa (hakosei kitu) na kumnyenyekea.

Kama amezaliwa katikati ya May 20 - June 23.
Basi ndio kabisa. Kisukari ni +++.

Kazi mnayo Kamanda.
Kwamba mlimuendekeza, siyo?
 
Phew, relax Coca!
Hakuna anayetaka wala anayefuatilia maisha ya mtu, kuna social interaction kazini, kuna work interactions, unadhani naongelea social interaction?

Kama mood swings zako zinaathiri kazi unadhani ni sawa, kama huwezi ku'interact na watu ili kazi za watu ziende unadhani ni sawa?

Hakuna anayetaka maisha ya mtu binafsi, kila mtu yupo kazini kwa maslahi yake, lakini maslahi ya ofisi kwanza, mambo ya socials kila mtu ana mpango wake.

Ungeuliza kwanza kabla ya kuhitimisha.
Huu ni uongo, ingekua hivyo ni mda sana angeshatolewa hapo kazini, yaan mtu mood swings zake ziharibu kazi za ofisi na aachwe? Uongo.
Mseme mnataka mazoea nae, na yeye hataki.

Kila mtu hapo ofisini afanye kilicho mpeleka, habari za kufuatilia mood swings za mtu ni ufukunyuku.

Hataki mazoea ya kiwaki na nyie, full stop.
 
Mkuu mtoto anakushindaje,we mchane kuwa kuwa hapo ni kwako na qnapokuwa hapo asikilize unachomuambia,mwambie kama anaona amekua akajipangie chumba
 
Mahusiano bora na wenzake kazini ni muhimu kiutumishi, maana Kazi na maelekezo yanatumwa kupitia Eoffice, Gms, na platforms zingine, zingine zinahitaji files na attachments zingine wewe huna wanazo wengine...Muwe na ofisi binafsi ili muwe huru na tabia zenu pendwa.
Kwani hizo platforms, Gms, na Eoffice anakua hana? Kila mtu anaingia na anaona, then ukiona mtu hataki mazoea au ukaribu na wewe, na ukapewa kazi ya office, si unamtumia tu Files, Attachments au PDF basi unakausha kimya, yeye ataona na kufanyia kazi.

Tatizo mnataka mazoea na ukaribu upitilize, kuna wengine hivyo sio vitu vyao na wana mipaka juu ya masuala hayo.

Acheni visingizio vyenu vya uongo hapa.
Watu hawataki mazoea.
 
Labda kila akitongiza anakataliwa na ashiki imenipanda na hana pa kupunguzia.

Ndiyo maana kwa umri wa kuanzia kubalehe kijana anatakiwa awe masta wa nyeto ili alikataliwa na demu apate pa kumwaga manii yake yanayotengenezwa la wingi.

Hili nililolisema mnaqeza mkalichukulia kumiuwepeso, lakini Lina ukweli.

Mbaga Jr.
Wasipoelewa hapa, bc tena 😂
 
Huyo inabidi apuuzwe muda wa msosi ukifika mkimuita mara moja imetosha na msibakizie chakula asipopiga simu hakuna mkupigia lakini kama atakuwa ananuna kidogo tu halafu mnamnyenyekea atawapanda kichwani
Huyo inaonekana kalelewa malezi ya mapajani, leo hii sisi ni watu wazima lakn aliyekulea akikugombeza utakaa kmya ukimsikiliza then utamwambia kama yupo sahih ama lah kuhusu kugomba kwake, baada ya hapo hamna mtu unaemununia!

Huyo dogo hana adabu kawazarau nyote hapo home
 
Huu ni uongo, ingekua hivyo ni mda sana angeshatolewa hapo kazini, yaan mtu mood swings zake ziharibu kazi za ofisi na aachwe? Uongo.
Mseme mnataka mazoea nae, na yeye hataki.

Kila mtu hapo ofisini afanye kilicho mpeleka, habari za kufuatilia mood swings za mtu ni ufukunyuku.

Hataki mazoea ya kiwaki na nyie, full stop.
Sawa Coca!
 
Hayo ni matokeo ya malez ya kudekeza aliyokua nayo, ndo wale vijana wakat anakua (akiwa mtoto) akizuiliwa kitu anajitupa chin kwa hasira anaanza kuburuza miguu chini huku akilia kwa saut kubwa kama kachomwa mshale, anapinda shingo anasusa, wakat huo ukimpa kitu chochote anakitupa (anasema "jigo"), athali zake ndo hizo!

Enz hizo mkubwa ukifanyia misuso ya kijinga unakung`utwa hadi misuso inakuisha! Tumekuwa na malez hayo hayo
 
Kijana wangu, ana miaka 20 kwa sasa, yuko chuo anamaliza mwaka wa kwanza, tangu alipomaliza kidato cha sita kawa mtu wa hasira sana, akikosea kitu ukimuonya hataki kabisa kusikiliza, badala yake ataanza kuongea kuonesha hakubaliani na baada ya hapo ananuna haongei na mtu hata siku 3.

Hali hii imekuwa kero sana kwa familia yetu kwani akiwa katika hali hiyo, kila anayemsemesha anamjibu kwa sauti ya kufoka, anapenda kukaa peke yake, anakuwa busy tu na simu yake na si watu wa familia yake, na ikifika wakati wa chakula hajumuiki na wengine anakula kwa wakati wake mwenyewe.

Kuna muda natamani hata likizo iishe arudi chuo nisimuone kabisa kwani kawa simba ndani ya nyumba yangu mwenyewe, kuna muda natamani kumkata makonde ila najizuia, sijui kapatwa na nini.

Je, nifanyeje kumsaidia aache tabia hii ambayo katika makuzi yake hakua nayo, kwa sasa ni mtu mzima siwezi hata kusema nitatumia fimbo.
Ni either mchawi au mboga
 
Kwani hizo platforms, Gms, na Eoffice anakua hana? Kila mtu anaingia na anaona, then ukiona mtu hataki mazoea au ukaribu na wewe, na ukapewa kazi ya office, si unamtumia tu Files, Attachments au PDF basi unakausha kimya, yeye ataona na kufanyia kazi.

Tatizo mnataka mazoea na ukaribu upitilize, kuna wengine hivyo sio vitu vyao na wana mipaka juu ya masuala hayo.

Acheni visingizio vyenu vya uongo hapa.
Watu hawataki mazoea.
Coca tatizo una kaubishi sijui niite ka asili au niaje. Kama mtu jana alikuwa anaengage na watu vizuri, leo anakuja amenuna tu siku nzima, kesho anakuja anachekacheka na kila mtu, keshokuta amenunia kila mtu. Huyo mtu ana mahusiano ya namna gani.

Usipende kubishabisha tu kila kitu mkuu, itakusaidia sana.
 
Back
Top Bottom