Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Nikawaida kashachokwa hapo apelekwe tu Kwa bibi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa 55 au jobless ???Umri wa baba ni mara moja ya umri wa mtoto...kama umri wa mtoto ni miaka 26 baba analingana na ng'ombe...tafuta umri wa baba 😁 mekumbuka shule
Miaka 26 anafanya nini nyumbani?Habari,
Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno
anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na
uasherati.
Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.
Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.
Anaskilizia michongoMiaka 26 anafanya nini nyumbani?
Umri wa mtoto ni mara mbil ya umri wa baba , ikiwa mtoto ana miaka 26, tafuta umri wa baba baada ya miaka 26[emoji23][emoji23]Habari,
Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno
anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na
uasherati.
Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.
Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.
Umri wa baba ni mara moja ya umri wa mtoto...kama umri wa mtoto ni miaka 26 baba analingana na ng'ombe...tafuta umri wa baba 😁 mekumbuka shule
Hahahah,Habari,
Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno
anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na
uasherati.
Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.
Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.
Umfukuze aende wapi?Hapo ni kwao.Weye ndiye uondoke urudi kwa wazazi wako.Natania tu.Habari,
Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno
anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na
uasherati.
Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.
Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.
Ualim ni nini? na kuandika kwa kuanza na herufi kubwa kila neno kwenye sentensi ni uandishi wa wapi?UALIM PASIPO ELIMU (UPE)
Andika Vizuri Lugha Tamu Na Adhim Ya Kiswahili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mufuguze tu mana aya mavij ana ya siguizi aya na,ad bu