Kijana wangu wa kiume amenivunjia heshima

Habari,

Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno
anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na
uasherati.

Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.

Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.
Miaka 26 anafanya nini nyumbani?
 
Habari,

Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno
anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na
uasherati.

Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.

Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.
Umri wa mtoto ni mara mbil ya umri wa baba , ikiwa mtoto ana miaka 26, tafuta umri wa baba baada ya miaka 26[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari,

Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno
anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na
uasherati.

Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.

Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.
Hahahah,
 
Miaka 26 anapaswa atoke kama hatofuata kanuni zako.
 
Dah[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ko umri huo unawezaje kumpangia mtoto maisha mkuu,???we mshauri tu jinsi ya kuplay fair sio kumkataza kula mbususu ni uongo.
 
Habari,

Ni wiki moja sasa natafakari baada ya kijana wangu niliyemwamini mno
anijibu vibaya usiku nilipomuita sebuleni kumpa onyo ache uhuni na
uasherati.

Nimelia usiku kucha na bado hajaniomba msamaha mpaka muda huu.

Umri wake ni miaka 26, nafikiria kumfukuza kwangu.
Umfukuze aende wapi?Hapo ni kwao.Weye ndiye uondoke urudi kwa wazazi wako.Natania tu.
 
We utakua Punga tu,
Kijana wako kabisa akuvunjie heshima unakaa unalia ww vp wewe.
Wenzio tunaenda nao hadi kwa Mungu aombe msamaha kule na tunarudi hapo kashapigika sanaaa
 
Back
Top Bottom