Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

We mbona huja share wako sasa??
 
Acha Uongo, watu wanapiga nyeto na show wanapiga vizuri, hayo mengine yote ya Uongo
sichekeshi wala kudanganya chief lengo la huu uzi nikujifunza

punyeto ni mbaya sana,tena sio kimwili tu hadi kiroho

stop masturbation
or better do health masturbation while hii kitu inatengeneza addiction
 
Kiukweli mimi ile kufeli mazima ilikuwa 2012. Sababu kuu ilikuwa papuchi. Nilikuwa sina demu permanent ila nadhani kila siku nilikuwa natafuna kama sio dadapoa basi yeyote anayepatikana kirahisi. Mwaka 2010 hadi 12 nilikuwa niko poa kiuchumi ila sikufanya lolote zaidi ya kutafuna mbususu na kujikuta ninafeli na kutumbukia kwenye madeni. Hiyo 2012 nikaanza kupambana kulipa madeni na kufikia Januari 2013 nikawa nimemaliza. Ilibidi nihamie Dar na kuanza upya kabisa. Haikuwa kazi rahisi ila kufikia mwaka 2016 nilikuwa na kiasi kama 5m na ndo ukawa mtaji wangu wa biashara. 2017 nikapata demu ambaye huyo ndo aliniteka na karibia kunifilisi Part II. Huyo manzi alikuwa mchaga anachuna kama hana akili nzuri. 2020 nikarudi kwenye akili zangu timamu na kuachana naye mazima. Wakati naachana naye nilikuwa nimeanza kupotea kabisa ila kwa bahati nikaanza kusimama upya hadi ninavyoandika hali sio mbaya. Hilo shetani la kichaga huwa nikilikumbuka najikuta naungana na dronedrake Kukataa ndoa.
 
Halikuwa anakuchuna mzee yan kila hela anayoomba unampa.
 
Niliteleza sana na utelezi nikalekeza mazima.
 
sichekeshi wala kudanganya chief lengo la huu uzi nikujifunza

punyeto ni mbaya sana,tena sio kimwili tu hadi kiroho

stop masturbation
or better do health masturbation while hii kitu inatengeneza addiction
So walioathirika na masturbation unawashauri baada ya kuacha wafanyeje?
 
Dah; hizi papuchi ndo kilio kwa vijana tunaojitafuta.
 
huyu demu alikupa demo ya kutosha,pole chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…