Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

Halikuwa anakuchuna mzee yan kila hela anayoomba unampa.
Ndugu Soulja nilishawahi hadi kumlipia baba yake nauli alikuwa anatoka Moshi kuja Dar. Ubaya zaidi mimi huwa ninaandika hela zangu zote nilizotumia isipokuwa msosi na nauli za daladala au Uber. Mambo mengine yote huwa naandika. Huyo demu kwa mwaka 2017 hadi 19 mwishoni nadhani hela jumla nilizotumia kwake zinafika 20m
 
[emoji419][emoji419]
 
So walioathirika na masturbation unawashauri baada ya kuacha wafanyeje?
Dawa ya masturbation ni KUAMUA KUACHA. Kama alizaliwa mzima basi hizo athari huondoka na kuwa sawa baada ya muda mfupi tu. Tatizo ni hapo kwenye kuacha. Uraibu huwa ni tatizo kubwa. Kama hawezi kuacha kwa mara moja basi aanze kupunguza taratibu huku akifikiria kuoa. Kuacha bila kuwa na plan B inaweza kukufanya kurudi tena kwenye uraibu.
 
Mmmmh[emoji16]
 
SHULE
Mim jamani tangu niko la nne nilkua busy na kilimo maana nilikua napenda kilimo sana yaan shule nilikua naona km napoteza mda.Nilipo ingia la tano nikakodisha shamba la mpunga na kweli Mungu akabisaidia nikapiga mpunga wa maana.

Wazazi wakaona sasa mm shule nitaitema wakamwambia kaka yangu mkubwa anichukue nikatoka Mwanza nikaja Moro sasa niko town hakuna mashamba nikakomaa nikamaliza la saba nikachaguliwa niende iringa wakaona huyu ataingia mitini wakanipeleka dar nikapiga mpaka form four nikafauru ila sasa hapo ndo niligoma sitaki shule ilikua ugomvi mkubwa sana.

Ndugu wakanitenga mm nikaanzisha life kibishi nilisota sana bila msaada wa ndugu ila Mungu alinisaidia nikatoboa lakini si kwenye kilimo.Mpaka sasa hua nawalaumu sana wazee km wangeniacha nikakomaa tangu utotoni na mishe zangu leo nisingekua hapa maana najijua bidii niliyo nayo.
 
Mwaka 2017 nilipomaliza chuo Nikazalishwa hapo ndo ikawa mwanzo wa maisha yangu kuharibika mpaka Leo hii no job no anything baada ya hapo maisha yangu yamestack ila naamini siku moja mambo yatakua sawa.Mungu ni mwema
Wanawake wengi hawapendi kuusema huu ukweli, hongera sana na nakuombea upate wepesi kwenye mishe mishe zako Mkuu
 
Aisee
 
Wewe hauna msoto wowote uliopitia. Ulichoandika ni UJINGA MTUPU plus UTOTO.
 
mkuu shukuru MUNGU ,umeokota chochote shuleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…