RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Exercise gani? Au zozote tu?check up ya afya
exercising
later on waoe ili wasirudi kwenye huo uraibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Exercise gani? Au zozote tu?check up ya afya
exercising
later on waoe ili wasirudi kwenye huo uraibu
Ndugu Soulja nilishawahi hadi kumlipia baba yake nauli alikuwa anatoka Moshi kuja Dar. Ubaya zaidi mimi huwa ninaandika hela zangu zote nilizotumia isipokuwa msosi na nauli za daladala au Uber. Mambo mengine yote huwa naandika. Huyo demu kwa mwaka 2017 hadi 19 mwishoni nadhani hela jumla nilizotumia kwake zinafika 20mHalikuwa anakuchuna mzee yan kila hela anayoomba unampa.
[emoji16][emoji16][emoji16]Imani za Dini zimenipitezea Muda wangu mwingi sana
Information TechnologyMkuu ni nini ulikuwa unasoma ukapata fursa ya kutalii hivo?
[emoji419][emoji419]Kitu kingine nilichojifunza maishani ni swala la kukopesha ndugu na marafiki, I learned this the hard way, nimepoteza hela nyingi sana takribani milioni 9 kwa kusaidia ndugu ambao hawana shukrani, kuna huyo nilimpa milioni 5 hadi leo hajanilipa na hana mpango wa kunipa. Unaenda kudai hela mtu anakuchamba.
Namshukuru mungu nimewasamehe na sina kinyongo na ndugu yangu yeyote, kwa sababu naamini ndugu na rafiki ni watu muhimu sana maishani kuliko hata hela.
Kitu chingine ambacho vijana inabidi tujifunze ni kwamba, kuna kipindi flani katika maisha yetu, mungu hufungulia baraka zake, tunajikuta tunapata hela nyingi sana ambazo sometimes hajutui tuzipeleka wapi au tuzitumiaje.
Huu ni muda ambao inabidi tuwe makini sana kwasababu Lucifer(Ibilisi) hutumia nguvu sana kutuyumbisha na kutuingiza kweny mienendo isiyofaa ili tutumie hela vibaya kwa mambo ambayo siyo ya msingi kama pombe, ngono, kuzurura, mavazi expensive, na expenses zingine zisizo kuwa na umuhimu.
Hakika nakwambia ukiweza kutumia huu muda ambao kipato chako kipo stable na madili yanatiki vizur na kuepukana na zinaa, utakuja kuwa na uzee wa baraka sana, hutasumbuliwa na magonjwa, hutasumbuliwa na uchumi mbovu, utaweza kusaidia familia na ndugu zako wengine vizur, utakuwa baraka kweny ukoo wenu.
Sisemi uongo mm mwenyew ni mhanga wa kwenda viwanja, weekend hivi kama leo nisipoenda viwanja najihic kabisa mwili unauma, japokuwa situmii pombe wala kilevi chochote(kwanza siwez, siku ya kwanza kunywa pombe nilitapika sana)
Ewe kijana mwenzangu ukiona asaiv account yako inacheka basi jua muda wa kuwa makini sana.
Lucifer(Ibilisi) hataki tuwe matajiri, anajua tajiri anaweza kujiamulia maisha ya kuishi, maskini hawez, maskini hata akiambiwa sujudia sanamu nikupe millioni kumi anakubali kwasababu maskini anaamuliwa maisha ya kuishi.
Chingine jamani, tukumbuke kilimo na ufugaji, hasa tulioajiriwa, mkulima huwez kumwona anamlilia mwanasiasa amlipe mshahara, mkulima ana uhakika wa kula hata kama hana hela mfukoni, chochote unachofanya hata kama wewe ni rubani hakikisha unalima na kufuga(sio lazima uwe mkulima mkubwa hata ukiwa na bustani nzuri ya mbogamboga na kuku wa idadi flani inatosha), serikali haitabiriki tuachane na mambo ya kuwategemea wanasiasa hawa.
Mwakani mungu akinibariki naingia kweny kilimo na ufugaji rasmi.
Chukua mkopo benki za hovyo halafu tumia kipumbavu kisha sikilizia.Uvivu umenikosesha fursa nyingi sana na unaendelea kunikosesha michongo hadi leo. Hii hali ya uvivu inaweza kutibiwa vp?
Dawa ya masturbation ni KUAMUA KUACHA. Kama alizaliwa mzima basi hizo athari huondoka na kuwa sawa baada ya muda mfupi tu. Tatizo ni hapo kwenye kuacha. Uraibu huwa ni tatizo kubwa. Kama hawezi kuacha kwa mara moja basi aanze kupunguza taratibu huku akifikiria kuoa. Kuacha bila kuwa na plan B inaweza kukufanya kurudi tena kwenye uraibu.So walioathirika na masturbation unawashauri baada ya kuacha wafanyeje?
Mmmmh[emoji16]Ndugu Soulja nilishawahi hadi kumlipia baba yake nauli alikuwa anatoka Moshi kuja Dar. Ubaya zaidi mimi huwa ninaandika hela zangu zote nilizotumia isipokuwa msosi na nauli za daladala au Uber. Mambo mengine yote huwa naandika. Huyo demu kwa mwaka 2017 hadi 19 mwishoni nadhani hela jumla nilizotumia kwake zinafika 20m
Acha kupiga puli.Uvivu umenikosesha fursa nyingi sana na unaendelea kunikosesha michongo hadi leo. Hii hali ya uvivu inaweza kutibiwa vp?
Ndo bahat nasibu mkuu. Sema dada zetu wanajua sana kucheza na akili zetu. Mungu atunusuru tusipungukiwe na akili tuPapuchi noma sana mkuu. Yaani inahitaji umakini mno. Ila kuna watu waliobahatika kupata wanawake wazuri walioendana nao na kwa sasa wako mbali kimaisha.
Wanawake wengi hawapendi kuusema huu ukweli, hongera sana na nakuombea upate wepesi kwenye mishe mishe zako MkuuMwaka 2017 nilipomaliza chuo Nikazalishwa hapo ndo ikawa mwanzo wa maisha yangu kuharibika mpaka Leo hii no job no anything baada ya hapo maisha yangu yamestack ila naamini siku moja mambo yatakua sawa.Mungu ni mwema
AiseeMWANAMKE..
Nilikuwa na mwanamke kipindi fulani nikiwa vizuri kiuchumi. Nilimsomesha pia. Baada ya kumaliza alipata kazi. Ikumbukwe nilipata nae mtoto mmoja.
Baada ya yeye kupata kazi bahati mbaya maisha yangu yaliyumba sana kwa kuwa nilisimamishwa kazi kampuni niliyokuwepo wakati ule. Nilianza upya kutafuta kazi hadi kwa kuhonga ili niingie kwenye vitengo ila haikuwa hivyo, nilifeli.
Nilijikuta akiba yote imeisha nikiwa sijapata kazi, hapo ndipo mambo yalianzia. Mwanamke alianza kujazia sehemu zenye mapungufu japo kishingo upande, zikaanza influence za kwao kuwa aondoke kwangu sababu sina mchango wowote tena.
Aliondoka na vitu siku moja nikiwa safari kufukuzia kazi. Nilipigiwa simu tu na watu wa karibu kuulizia mbona ninahama. Asikwambie mtu, from there nikaanza kuishi kama kuku, kuzurura tu. Again I started from Zero. Hakuna alienielewa, si wazazi wake wala yeye. Home wakaniambia nipotezee tu.
Ni mengi sana yalipita nikipata time nitashusha kila kitu. I thank God, nilipata kazi tena kampuni jingine and from there my life is back on track. Sina vikuuubwa ila ninaishi maisha yangu.
Wewe hauna msoto wowote uliopitia. Ulichoandika ni UJINGA MTUPU plus UTOTO.SHULE
Mim jamani tangu niko la nne nilkua busy na kilimo maana nilikua napenda kilimo sana yaan shule nilikua naona km napoteza mda.Nilipo ingia la tano nikakodisha shamba la mpunga na kweli Mungu akabisaidia nikapiga mpunga wa maana.
Wazazi wakaona sasa mm shule nitaitema wakamwambia kaka yangu mkubwa anichukue nikatoka Mwanza nikaja Moro sasa niko town hakuna mashamba nikakomaa nikamaliza la saba nikachaguliwa niende iringa wakaona huyu ataingia mitini wakanipeleka dar nikapiga mpaka form four nikafauru ila sasa hapo ndo niligoma sitaki shule ilikua ugomvi mkubwa sana.
Ndugu wakanitenga mm nikaanzisha life kibishi nilisota sana bila msaada wa ndugu ila Mungu alinisaidia nikatoboa lakini si kwenye kilimo.Mpaka sasa hua nawalaumu sana wazee km wangeniacha nikakomaa tangu utotoni na mishe zangu leo nisingekua hapa maana najijua bidii niliyo nayo.
mkuu shukuru MUNGU ,umeokota chochote shuleniSHULE
Mim jamani tangu niko la nne nilkua busy na kilimo maana nilikua napenda kilimo sana yaan shule nilikua naona km napoteza mda.Nilipo ingia la tano nikakodisha shamba la mpunga na kweli Mungu akabisaidia nikapiga mpunga wa maana.
Wazazi wakaona sasa mm shule nitaitema wakamwambia kaka yangu mkubwa anichukue nikatoka Mwanza nikaja Moro sasa niko town hakuna mashamba nikakomaa nikamaliza la saba nikachaguliwa niende iringa wakaona huyu ataingia mitini wakanipeleka dar nikapiga mpaka form four nikafauru ila sasa hapo ndo niligoma sitaki shule ilikua ugomvi mkubwa sana.
Ndugu wakanitenga mm nikaanzisha life kibishi nilisota sana bila msaada wa ndugu ila Mungu alinisaidia nikatoboa lakini si kwenye kilimo.Mpaka sasa hua nawalaumu sana wazee km wangeniacha nikakomaa tangu utotoni na mishe zangu leo nisingekua hapa maana najijua bidii niliyo nayo.
hahaaa chiefWewe hauna msoto wowote uliopitia. Ulichoandika ni UJINGA MTUPU plus UTOTO.
Ndugu uzi ni kuhusu watu waliofanya makosa na kuanguka kiuchumi.. sasa hili toto linaleta upumbavu wa ishu za kukataa shule.hahaaa chief
anadai wazazi wali mlostishaNdugu uzi ni kuhusu watu waliofanya makosa na kuanguka kiuchumi.. sasa hili toto linaleta upumbavu wa ishu za kukataa shule.
Dah! Kanikera kwelikweli. Wazazi waliotaka aende shule wanamlostishaje tena? Dogo hajui kuwa vyeti vinaokoaga biashara ikikwama.anadai wazazi wali mlostisha