Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

Uko sahihi.
 
We ni mjinga sana
 
Nimepoteza karibia M 10 kilimo cha nyanya,sina hamu japokua ilinitoa sana kwa miaka kadhaa,msimu wa mwaka juzi, mwaka jana na mwaka huu nimeambulia kichapo si kitoto.πŸ™Œ
 
Yani ikawa ndio nitolee mazima mpaka kesho? Au alirudi?
 
Kote umekuja vizuri ila hapo mwishoni hujawahi kulima alafu unashauri watu walime. Ukilima mwakani kama unavyotarajia ndipo utajua kwanini Watanzania wengi ni wakulima na wengi ndio maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…