mbwangali
JF-Expert Member
- Jan 8, 2021
- 2,266
- 4,057
Hawa wanawake wa hovyo kiasi hiki huwa mnawaokota wapiMahusiano.
TUnaoa kwasababu kuna mambo ya msingi anapaswa kufanya mke na sio demu wala hawara.
Tatzo la mke wangu ni moja tu, wivu unamtesa mno, najaribu kumuweka wazi kwa mambo mengi lakini bado hajawahi kuniamini hata kidogo.
Simu yangu ana uhuru nayo kila kona lakni haisaidii kujiiaminisha kwake.
TImbwili.
Mama yake mzazi alikuwa naumwa nikamruhusu akamuuguze mzaa chema alipofika Huko simu huku kwa majarini hazikomi, yani nikitoa mguu majiran macho kwangu. Akapewa story za uongo na kweli kuwa silali nyumbani wala sishindi hata siku za weekend yani kamezeshwa stori mbovu atari.
Alivyorudi na mimi nikawaka kidogo kama baba akatulia kidogo baada ya wiki moja hivi, timbwili likaanza. Nipo mezani nafunga siku yangu mara simu ikaiingia na ule mchoko alaf namba mpya nikapokea nikaweka loud huku naendelea na hesabu sasa mpgaji simu akaanza stori za mchana nimepiga simu hukupokea kwanini?
Nikamjibu nilikuwa bize sema unashida gan na ww ni nani?
Akasema alikuwa anamtafuta msela wake akidhani nilikuwa naye. Nikajibu inshort sikuwa naye mpigie kwenye simu yake then nikakata simu.
Mke akajua ni mchongo wee kesho yake nipo kazini nashangaa mtu anakuja na mtoto mara kamuacha mara huyoo kasepa nikaita naona meseji inasema: 'ukinikuta niite mbwa maisha mema.'
Ikabidi nivute pumzi ndefu na kazi nikafunga nikarudi nyumbani na mwanangu nikimpigia sm hapokei.
Usimuamini mwanamke utaishia pabaya.
Ndoa ni utapeli.